Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

zito zuber kabwe

"HUU NDO UKWELI KATI YA ZITTO WA KIGOMA NA LEMA WA ARUSHA":
1) "Zitto Kabwe ana Diwani Mmoja (1) tu Jimboni Kwake, Lema anao Madiwani Kumi na Wawili (12) Jimboni Kwake.

2) Naibu Meya wa Jiji la Arusha anatokea Chadema Kwa Juhudi za Mbunge huyu... Lema". Wakati Kigoma Hakuna Diwani Meya wala Naibu wa CDM

3) Uchaguzi Mkuu Uliopita wa Mwaka 2010: Arusha Mjini: Chadema Kura: 54,856 (56%), CCM Kura: 39,828 (40%).
Kigoma Kaskazini: Chadema Kura: 14,783 (31%), CCM Kura: 30,370 (63%).
 
Mpaka sasa wanaoongoza ni kama ifuatavyo:
1)Dr Slaa
2)Zitto
2)Tundu Lissu
4)J Mnyika
Zoezi la kura linaendelea hadi tar 31 usiku.

umefanya kazi yangu mkuu anyway sawa tuta wind up tar 31.12
 
zitto zuberi kabwe. Asiye mkubali zito kama si kipofu, au kiziwi hata kunusa hawezi. Huoni anavyosimamia hoja kwa manufaa ya taifa? Au husikiii?
 
1.Dr Slaa
2.Freeman Mbowe
3.Wabunge wote wa CDM except Zitto.
4.Kangi Lugola
5.Wabunge wa CCM
6.Zitto Kabwe
 
Back
Top Bottom