Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Huyu demu aliyechacha ndio think tank wa bavicha
!
!
Hapana. Mama yako ndio.
Huyu demu aliyechacha ndio think tank wa bavicha
Mange ni CCM asiyempenda Magufuli...Huyu demu aliyechacha ndio think tank wa bavicha
Kwa sababu aliyekushikia akili kasema hivyo??Kumbe la lowasa mbona wansema ni la Tanesco???
Ni za kizushi.Akil za mange kimambi
Na asiyempenda Lowassa, rejea wakati wa kampeni.Mange ni CCM asiyempenda Magufuli...
Ndio yamekuwa haya baada ya kuambulia kata moja? Ha ha ha.Mange ni CCM asiyempenda Magufuli...
Mange keshasema, bavicha wameshachomelea ktk ubongo wao hivyo.Hili jengo mbona ni Mali ya PPF?
Au PPF nayo ni ya LOWASSA?
Wakwambie ili iweje?? Nyie endeleeni kumuamini kamanda Mange.Tra watuambie nani mmiliki wa jengo hilo kupitia vielelezo ya malipo ya jengo hilo
Luwasa ni nan???Kwahiyo hata kama ni luwasa kama liko barabaran kwanini lisibomolewe?
42 za ubakaji.MATOKEO:
CCM 42 - 1 CHADEMA.
Mmebakwa na WATANZANIA.42 za ubakaji.
Hivi mna akili kweli nyie?
Duh, huu ulikua uongo mtupu, kimara, mbezi watu wamebomolewa bila kulipwa fidiaKiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco ila the developer ni PPF.
Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Kwa majibu wa Sheria zamani ya mwaka 1936, kweli jengo liko kwenye road reserve. Sheria mpya ya Ardhi 1999, ilifuta sheria ya 1936 na kupunguza road reserve, na ile ya 1936 ikaja kuchomekewa tena mwaka 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.
Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.
Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yanapaswa kufidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Update
Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.
Paskali
Acha bhange zako mkuu,Jengo la TANESCO Ubungo ni mali ya shirika la umeme nchini na halina ubia na mtu yeyote yule..
Ccm tunawajua mmeishiwa,mmekuwa mfu.Mmebakwa na WATANZANIA.