wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,713
- 26,861
Aisee...Mkuu wa majeshi CDF ndio mkuu kwa wote.
DG TISS amezidiwa cheo hata na IGP.
Anachafaidi DG TISS ni kuwa chawa wa rais a.k.a mnoko, mchomeaji wenzie.
Aisee...Mkuu wa majeshi CDF ndio mkuu kwa wote.
DG TISS amezidiwa cheo hata na IGP.
Anachafaidi DG TISS ni kuwa chawa wa rais a.k.a mnoko, mchomeaji wenzie.
You can't compare cdf na mkurugenzi Tiss, Cdf ni level zingine,thus why sometimes anaweza kuchukua nchi ikawa chini ya jeshi,Kama kunatokea mkanganyiko wa taasisi ya urais.Cdf ki protocol anateuliwa na rais na ana salute kwa rais,lakini kiuhalisia he is more superior than prsdnt,he can command anything to soldiers and be done onspot.japo ni swari za kipuuzi ngoja tu tukusaidie.
NakaziaSwali la kipuuzi
Wakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)
Karibu mtujuze mnaojua
Soma vizuri ulichokiandika mkuu.Mkuu wa usalama ni mkubwa! Jeshi ni sehemu ya vyombo vya usalama vingine ni magereza, polisi, uhamiaji nk. Mkuu wa usalama anacontrol vyote hivyo
Chukua unaloona lina mashiko kutokana na upembuzi wako.
sawa ila huwez fananisha army na idara ya ujasusi ndani ya nchi yyte ile...jeshi is everything jeshi ndio baba wa taasisi zote na vyombo vyte vya ulinzi, jeshi ndio ngome ya taifa lolote lile...Jeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.
The one who control infomation controls everything.
Dah ...Mkuu wa usalama ni mkubwa! Jeshi ni sehemu ya vyombo vya usalama vingine ni magereza, polisi, uhamiaji nk. Mkuu wa usalama anacontrol vyote hivyo
Siro nimkubwa kwa diwani kiprotokali, na kiukubwa wa taasisi wanazozisimamia...ndo maan hata kwene hafla yyte wanapokaa au kuingia siku zote hukaa na kuingia kulingana na seniority...CDF,IGP, DGIS,CG-magereza,CG-uhamiaji,CG-zimamoto,Takukuru,mkuu wa kupambana na madawa ya kulevya
Yes hawaongozi kimajukumu, ila kiprotokali yeye ni mkubwa moja si tu kwasababu ni general lakini pia chombo anachosimamia ndio chombo kikubwa au ndio baba wa vyombo vyte vya ulinzi na usalama...ndo maana CDF ndio mwenyekit wa wakuu wa vyombo vya ulinzi....nchi yoyte ile jeshi(army) ndio alfa na Omega wa vyombe vyte vya ulinzi na usalamaSio kweli, mmoja Ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa na mwingine Ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi.
Vyombo vya Usalama vina wakuu wao lakini ukifuata Protocol hao wengine hawana cheo Cha General ndio maana wengine Ni makamishina huku Ni mabrigedia nk.
Hivyo inapelekea yeye kuwa wakwanza kimadaraka lakini sio kwamba anawaongoza kimajukumu.
Mkuu wa usalama ni mkubwa! Jeshi ni sehemu ya vyombo vya usalama vingine ni magereza, polisi, uhamiaji nk. Mkuu wa usalama anacontrol vyote hivyo
Haha sasa hata usalama wa taifa wakijua hiyo mipango wanauwezo upi wakuzuia hilo lisitokee? Mnachekesha yani muanze kulinganisha jeshi na idara ya usalama hahahhaha...ndo maan nchi yyte kukitokea state of emergency jeshi ndo linashika nchi,Yani Kama hujui si usalama wala chombo chchte ambacho kinauwezo wakupimishana nguvu na kitu kinachoitwa Army kwene taifa lolote lile jeshi ndio alfa na Omega wa ulinzi kinyenzo,kiuwezo na kiupambambanajiKabla haujapindua Nchi, Tayari unakuwa tayari Mipango yako ishajulikana na Usalama wa Taifa na kudhibitiwa chini ya Ulinzi, Maana Usalama wapo kila Mahali
Yah!Yes hawaongozi kimajukumu, ila kiprotokali yeye ni mkubwa moja si tu kwasababu ni general lakini pia chombo anachosimamia ndio chombo kikubwa au ndio baba wa vyombo vyte vya ulinzi na usalama...ndo maana CDF ndio mwenyekit wa wakuu wa vyombo vya ulinzi....nchi yoyte ile jeshi(army) ndio alfa na Omega wa vyombe vyte vya ulinzi na usalama
Jeshini Kuna kitengo kinaitwa millitary intelligence na kinaongozwa na major general.... Kimsingi CDF is the God father of all....jeshi ni kubwa kuliko chombo chchte kileUsalama wa Taifa ni mdogo,lakini ndie mwenye intelligence/taarifa nyingi za kijasusi,na mbinu nyingi za kupata hizo taarifa,hata akitaka ajue CDF,kama ana kibamia,au ni homosexual,au michepuko yote ya CDF,na viongozi wakuu wa nchi,anaweza kujua.
daaah hii kali Yani mkuu wa TISS anacontrol hadi jeshi hahaha.....acha ujinga idara ya usalama ni chombo kidgo Sana kwa jeshi(army) ndani ya nchi yyte ileMkuu wa usalama ni mkubwa! Jeshi ni sehemu ya vyombo vya usalama vingine ni magereza, polisi, uhamiaji nk. Mkuu wa usalama anacontrol vyote hivyo
MuongoJeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.
The one who control infomation controls everything.
Nimecheka Sana... Zaidi ya dk 10Dah ...
Hizi shule siku hizi sijui mnaenda kusomea nini...
Mwenyewe nimeshangaa sana.Dah ...
Hizi shule siku hizi sijui mnaenda kusomea nini...