Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,961
- 3,592
Hao uliowataja woote wana ukongwe wao katika tasnia, kiboko kuna dogo mmoja ni mtangazi wa choice fm huwa anakuja pale clouds kufanya powerbreakfast on saturday huyu kijana anaitwa Mussa Memba, clouds wenyewe wanaelewa shughuli yake kwanza ana sauti nzuri ya kitangazaji. Sema bado wanamtafuta undani kuna yale matangazo yenye maelezo marefu ndo anapiga kwa mfano tangazo la chuo cha Datastar training college na shule ya Green acres na haya matangazo wa maombi ya vyuo....mtegee sikio huyu bwana