Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

NANI MKALI WA COLLABO/CHORUS BONGO FLEVA.


  • Total voters
    37
  • Poll closed .
Dah Ya leo kali, ngoja tumuite radhia kutoka mitaa ya kati, tumwambie huku tayari tatu bila. Ila mazari ya mentali siku hizi hakuna.
Nimeongea na sonia kasema Naja bila squeezer.

Wana bado tupo kigetogeto na ugali, mademu hawatutaki. Dah inatuuma sana mapanga sikuhizi hakuna. Hatujui tumpende nani, maana Mike T hayupo

Wahenga tu, ndo watakuwa wamenielewa
Ila kama ndo 20s najua umetoka kapa.
 
Japo nampenda G nako mnoooh tena hadi nje ya muziki wake nmefall in kwake, ila kumlinganisha na mr kiloboto hapana aseeeeeeeh, muacheni Juma wa watu atambe n mqareeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kumkosea heshima na adabu Nature.mtake radhi alaf omba mode wafute uzi huu kuficha ujinga wako.
 
Sina uhakika kama unajua unalolishindanisha...
Yaani Juma Nature unamuweka na kitoto cha jana hiki. Chorus zake zinadumu mwezi huwezi taka zisikiliza tena. Juma nature alikuwa ananyonga chorus ya maisha. Kila ukiisikiliza ni mpya. Mtoe juma nature hapo kabisa.. weka akina jux, ben pol,ama barnaba. Juma nature ni Incomparable
 
Back
Top Bottom