Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

NANI MKALI WA COLLABO/CHORUS BONGO FLEVA.


  • Total voters
    37
  • Poll closed .
Tulianzisheni za kigeto geto Juma nature p fank na king sopeto ×2 tuyapangilie na madili yetu


Huyu mtu ni hakunaga huyo gnako kwa korasi hata kwa q cheef hafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu Luhan _chen UKIVUTA BANGE UWAGE UNAKULA CHAKULA..

*************************************
Aaaaaaaah aaaahaaaah aaaaaha ahaaaaaaa..
Naja jirani...

Aaaaaaaah aaaahaaah aaaaaaha ahaaaaaaa...
Mimi naja...

*********
Mzee wa busara, vishawishi vimemponza mpaka kafanya busara,
Mzee wa busara ni mzee ambaye tunaishi nyumba za kupanga,

*********

Nakupendaaaaa...
Na sifa nakupa ile vibaya, kuna wapo wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu..
Nampenda mpenda NANI,
Msichana mmoja NaNI,
Mweupe kidogo NANI,
Nampenda nampendaa....

***********

Aqelina weee, tulimalize tatizo,
Ohoo hooo, aqelina mpenzi nakupenda,

************

Nipo duniani tangu august 13,(kiubishi ubishi)
Navuja jasho kimpango wangu,(Nimejifunza)
Maisha ni shida na raha, kuna starehe na karaha ,utachekwa ukizubaaa..

*************

Zali la mentari, lilitokea wakati mmi nna njaa,
Nkapendwa na demu mkali, na kuwaacha watu wote wakinishangaa katika mitaaa...

**************

Ridhiki ni popote mtu wangu zidisha piga kwata,
Na ofisi ni miguu yako ukitafta utapata,
Hatua kwa hatua,(chapa mwendo)
Wanga wakizingua,(tatu bila)
Wata ku diss mtaani wanakujua....

*************

Kamua baba kamua baba,(kamua)
Kamua baba usitumie hirizi,(kamua)
Ukijisifu na kujigamba,(kamua)
Hata mashikaji watakuona chizi..

************
Msi mpendelee m2 kwa kuwa ni legend...G nako ni mkali...yaani kama zingewepo tuzo towards best chorus,G nako angekuwa kama Messi na Ballon d'or

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga.
View attachment 1448074
juma Nature
Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi
Ugali
Sonia
Msela
Ugali
Radhia
Sitaki Demu
Kisa Demu
Hatuna kitu
Salio la verse
Zali la mentali
Nimpende nani?
Ubinadamu kazi
Mzee wa busara
Ya leo kali
Aquelina
Bila sanaa
Tunafanya kazi
Jinsi kijana
Ni mshamba
Siri ya mchezo
hii ni ndiyo mzee akiwa na professor J.


G NAKO
View attachment 1448080
G nako member wa zamani wa NAKO 2 NAKO na sasa akiwa member wa WEUSI.ni msani mwenye ladhaa ya kipekee kila ngoma anayoshirikishwa anafunika vilivyo. msikilize hapa
bele 9 na G Nako na maole.

weusi nje ya box

abdu kiba na g nako kwenye sheri coco

Ila ile chorus ya mzee wa busara ndio inamaliza utata wote aisee nature ni king wa chorus
 
Back
Top Bottom