Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

kampala

New Member
Oct 13, 2011
2
0
Maana kusema ukweli mpaka hivi sasa hatuoni mtu yeyote wala dalili yeyote kama ilivyokua wakati kikwete akitarajiwa kuingia na jinsi mambo yalivyo tight,sijui nani atafaa?
kama unajua tafadhali niambie
 
Mkuu badilisha na useme "Nani kugombea kupitia ccm"
 
Kwa aina ya swali lako, naamini watu wengi hapa ndani si waaguzi au wagagura!
 
Maana kusema ukweli mpaka hivi sasa hatuoni mtu yeyote wala dalili yeyote kama ilivyokua wakati kikwete akitarajiwa kuingia na jinsi mambo yalivyo tight,sijui nani atafaa?
kama unajua tafadhali niambie

Mgombea atakuwa Benard Membe, mzee wa fedha za shetani.
 
Mjadala wenye makengeza kama huu haufai kuwa humu. Mtu atakuwaje mgombea bila kujaza fomu? Hatuko hapa kufanya uganguzi usio na maana.
 
Hatutaki tena RAIS kupitia CCM maana wameshindwa. CCM haiwezi tena kuwa na kiongozi mzuri. Tumechoka na kujaribu jaribu kupitia CCM. CCM inaongozwa na genge lililojihami kulinda uozo wa walioiba na wanaoendele kuiba. Tunahitaji mabadiriko ata tukimuweka paka amabaye tunajua akituchukiza tutamtimua. We dont need CCM once more, we need CHANGEEEEEEEEEEEES. HALI NI MBAYA.
 
mi tanzania ingekuwa na mawazo kama yako sasa hivi tushakuwa mbali sana tatizo wanalijua wao wenyewe kwa nini hawabadiliki..
 
Acheni ujinga wenu tumeambiwa ccm mm navyoona iwe isiwe nni membe tu mana hakuna mwingine mwenye msimamo kama yeye.
 
Paul Kijoka,wewe unaona mbali sana,We need CHANGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEES
 
Back
Top Bottom