Kwa nguvu anayotumia Lowassa pamoja na ushawishi na nguvu aliyonayo ndani ya CCM na nje ya CCM, itakuwaJE CCM wakimpiga chini kupeperusha bendera yao hii 2015.
Tunatambua kuwa kuna kundi kubwa tu ndani ya CCM wasiomtaka Lowassa agombee urais kwa ticket ya CCM, na hata Mh. J.K kashasema asingependa amkabidhi nchi mtu mzima wa makamo yake, anataka ampe nchi kijana under 50.
Sasa kwanza kwa nguvu hizi za Lowassa, who can stop him!? And how!? Na if ikifanikiwa kumpiga chini, nini kitafuata!? Nini mustakabali wa TeamLowassa!?