Nani kasema Adolf Hitler alikuwa hapendwi?

Nani kasema Adolf Hitler alikuwa hapendwi?

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Adolf-Hitler-7.jpg
Hitler greets supporters from aboard a parade vehicle
 
Hadi leo anapendwa huyu Dubwana.

Kuna mtu mmoja hapa Bongo na yeye ninajua anafikiri anapendwa ila siku zikibadilika atakuwa kama Watoto wa Ghadaffi.

190785_1805753137111_1038378231_32120510_8317664_n-protest.jpg


.... kwa Kansa, kukosa madawa, kukosa chakula, Malaria, maandamao nk nk nk nk.
 
niliwahi kukutana na mjerumani mmoja wa kike udsm mwaka 2008, nilipojaribu kumsifia Hittler kwamba ni kiongozi pekee aliyevunja record kwa ujenzi wa miundombinu, alinishangaa na akatoa machozi. hatukuelewana kiukweli.
 
Hakuna kiongozi wa kisiasa humu duniani aliyewahi kutimiza ahadi zake kama Adolf Hiltler. Huyu jamaa alikuwa 'straight to the point'. Rekodi yake ni ya kutukuka

Straight to the point = Final Solution to the Jewish Problem?
 
niliwahi kukutana na mjerumani mmoja wa kike udsm mwaka 2008, nilipojaribu kumsifia Hittler kwamba ni kiongozi pekee aliyevunja record kwa ujenzi wa miundombinu, alinishangaa na akatoa machozi. hatukuelewana kiukweli.

Not only mjeruman we mwambie muisrael hayo mambo uone...nidham ya uoga ndo inawafanya hao watu wajfanye wanampenda lakin pia alikuwa na wafuasi waliompenda cz huwez kuchukiwa na wote hata shetan kuna wa2 wanamtukuza na kumpenda...
 
This guy was a really leader. The problem is that he could not control his evil fantancies to outpace his ability to lead. Yes, he was so angry about losing the first world war...but was it necessary to start the second world war? Why did he hate jews to that extent? In case Africans were there, would he shake hands with them? Aryan race superiority complex was a mistake that cost the guy dearly.
 
Hao wanaonyesha kumpenda ni wazandiki tu...na kawaida huwa kwa ajili ya manufaa yao wenyewe.
 
Nani anajua kifo chake kilikuwaje! kuna watu wanasema alifia pande za huku Bongo, kama ni hivyo basi tuna historia iliyotukuka.
 
Mbona hata Hosn Mubarak alifanyiwa hivyo na akaja kufurushwa na wananchi???
Gaddaffi alikuwa anabebwa lkn hatimaye akauawa kama kibaka mtaroni!??
Kikwete anafanyiwa hivyo lkn mtaani hata watoto wanamwita cha nazi!?

Kusahngiliwa hadharani, siyo kigezo cha kupendwa moyoni!
 
hapo wataka usitake lazima umpende dadeki..!bisha uone mziki wake hitler alikuwa mafia mbayaaa
 
Nani anajua kifo chake kilikuwaje! kuna watu wanasema alifia pande za huku Bongo, kama ni hivyo basi tuna historia iliyotukuka.

Wewe inaonesha upo Leipzig Ujerumani na hujui Hitler alikufaje?
Alijipiga risasi kabla hajakamatwa.
 
Back
Top Bottom