Nani kasema Adolf Hitler alikuwa hapendwi?

Nani kasema Adolf Hitler alikuwa hapendwi?

MZIZI WA MBUYU unasema watoto wanamwitaje vile??????saaaaaaaaasa Mabwepande ileeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
inawezekana hitler aliwafanyanyia wayahudi vile kulingana na msimamo wake na wa baadhi ya wajerumani,wanaweza kuwa wengi au wachache ila lawama zinaenda kwake kwa sababu ndio alikuwa kiongozi
 
Wewe inaonesha upo Leipzig Ujerumani na hujui Hitler alikufaje?
Alijipiga risasi kabla hajakamatwa.

Nilijiunga na forum hii nikiwa huko na kwa bahati mbaya sikuwahi kuuliza wala kusoma kuhusu hilo.
 
Hitler alionambali sana kuwa hawa wayahudi watakuja sumbua dunia akaamua kuyaangamiza yote ... akaonekana hana akili wayahudi wameanza kuitawala dunia kwa remote control since 1960 wait mpaka 2060 uone mambo yatakavyokuwa
 
Nilijiunga na forum hii nikiwa huko na kwa bahati mbaya sikuwahi kuuliza wala kusoma kuhusu hilo.
Barabara!
Pamoja na kwamba kuna nadharia nyingi kuhusu kifo chake, ukweli ni kwamba alifanya kama alivyofanya Mkwawa. Kuliko kukamatwa na kuteswa aliona bora malize familia yake nzima kwanza ndipo ajimalize na yeye. Alianza kwa kumlipua mkewe Eva Braun, then akajiua yeye. Fuvu lake lipo, limehifadhiwa kwa kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom