Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

Watu wanafki sana humu
Ukiwadaka tu ghafla uwaulize kirefu hata cha NHIF ama UNESCO
Mwigulu ana afadhali
Ye Mwigululu ndo kazi yake inayo Mfanya atembelee V8.
Na ndo inamlipa watoto wasome Feza.
Ndo mtoto anaona kwenye Tv anajibu vile yayayayayayayaya kah...
Hata wanafunzi wenzie lazima wamstukie Dingi waseme Dingi kala shavu kimchongo
 
Mapungufu ni mengi sana katika Tozo za kielektroniki. Mfano. Kwa NMB insufficient balance transaction inatozwa 600 wakati mteja hajatimiza azimio lake. Wakati huo huo M-Pesa na Wengineo hawana tozo kwa miamala isiyotimiza azimio la mteja.

Kwa ujumla; Mpango huu wa tozo ni kurupuko kubwa kuwahi kutokea katika Nchi ya Miamala na limegusa Mabaga fresh tu.
 
moja tu
IMG-20220923-WA0036.jpg
 
weka jibu lote hiki ni kipande tu. huko mbele alifafanua ndipo spika akasema sawa
Mkuu unajua fika ukifanya mtihani na ku_fail haiwezi kuwa sawa na winner re seater paper.

So tunajadiliana why first paper achemke kwa namna hiyo?.
 
Mkuu unajua fika ukifanya mtihani na ku_fail haiwezi kuwa sawa na winner re seater paper.

So tunajadiliana why first paper achemke kwa namna hiyo?.
hapana si katika hili. aliyetengeneza hiyo clip alikata maelezo baada ya hizo ya ya ya ya, alifafanua vizuri mpaka mwisho ndipo spika akasema sawa nimeelewa. huyo aliyekata maelezo ya katikati si mtu mwema, alipaswa aweke jibu lote la mwigulu. mnyonge mnyongeni.....
 
Back
Top Bottom