Thanks Asha kwenye hii useful post.
Hapo kwenye red.........Haimpasi baba kupewa heshima hiyo ya NANI KAMA BABA?
Wote ni walezi wa familia lakini ilionekana ivo sababu mama ndiye aliyekuwa karibu na watoto, sikuzote na baba alikuwa mtafutaji chochote kihusucho familia na malezi ya watoto mama ndiye aliyehusika sana na ndio maana hata mtoto alipoharibika mama ndiye aliyelumiwa bila kujali alipitia mangapi.
baba alikuwa wa kuhakikisha chakula kipo,ada na mahitaji mengine na hata akipotea wiki nzima yeye anachojua aikute familia inaendelea vizuri na kwa baadhi majukumu yalikuwa tofauti wote watafutaji na bado mama alihitajika kuwa karibu ili watoto wakue katika misingi ipasayo.
Lakini siku izi maisha yamebadilika na huu msemo nguvu yake unaelekea kwisha imebaki mazoea tu ya maneno tuliyozoea kusema.
Asha D,
Nimependa sana jinsi ulivyomwaga utetezi wako hapa,
lakini kikubwa nachogundua hapa kwa mawazo yako,
na ya akina dada wengine hapa JF,
NI KATIKA UZAZI, yaani kubeba mimba, kunyonyesha nk.
ndipo ambapo mama anaonekana yeye ndo yeye na hakuna mwingine,
lakini hebu tujiulize, maisha yanajidhihirisha katika phase hiyo tu?
mbona mnasahau hatua zingine za maisha baada ya kuwepo tumboni kwa miezi 9,
kunyonya n.k.?
Pili, kama ndo hivyo, je wale akina dada wanaotupa watoto chooni, vichakani nao tuwaite NANI KAMA MAMA?
Je, wale akina mama wanaokaa na watoto wa kufikia na kila kutwa wanawatesa kwa mateso ambayo hata JEHANAMU unaweza usiyakute, je nao tuwaite NANI KAMA MAMA?
ASANTE,
NANI KAMA MUNGU?
Asprinn hapo kwenye red in kweli panampa haki kusema nani kama baba, tatizo linakuja katika maybe baba 10 labda wawili ndo wanafanya wajibu wao, but watoto hao kumi wote watakua salama ili mradi mama awakuze na waweze kujitegemea... In other words ni kua baba ni muhimu saana but si lazima... Hata kiutafiti imeoneshwa kua kuna tofauti kati ya mtoto alolelewa kwa mapenzi mama kuliko asie lelewa na mapenzi ya mama.
Hapa nakataa
Chauro kasema wazi wazi, bila kutafuna maneno kwamba kwa maisha ya sasa huu msemo wa HAKUNA KAMA MAMA umechuja sana nguvu tofauti na zamani.
Baba akifa utambadili na mwanaume gani???? Kama huwezi kujibu hili basi kubali tu kwamba HAKUNA KAMA BABA
Mama nae akifa utambadili na mwanamke gani??? Basi nae hakuna kama Mama.
Huu ndio ukweli, wala tusitake kupunguza ulazima wa uwepo wa baba.
Asha D,
Kukubali kusema HAKUNA KAMA BABA hakupunguzi sifa ya HAKUNA KAMA MAMA.
Kubali tu kwamba Baba nae hana mbadala.
Usipambanishe Baba na Mama.
I know CPU, but wababa wangapi wanaplay hiyo part ipasavyo ?? Ndio kweli saizi imekua nafuu lakini inamaana hayo niloeleza hio post ya mwisho kuhusu single parents akina mama nimeongopa? Nakubaliana na Chauro kwa zile familia ambazo zimebahatika kua na wazazi wote but ukweli ni kwamba wababa wengi hawaplay part yao ukifananisha na akina mama.
Kama unafahamu kuna wababa hawa-play party yao, basi fahamu kwamba siku hizi wapo tena wengi hata akina mama ambao hawa-play part zao ktk familia.
Isitoshe hata kama tukichukulia unavyosema wewe kwamba wababa wawili tu kati ya kumi ndio wanawajibika, bado huwezi kusema kwa vile hao wawili ni wachache basi hata nafasi zao zinazibika au SI LAZIMA (kama ulivyotamka hapo juu). Utaziba na nini nafasi zao??? (Hili ndio swali ambalo mpaka sasa mnashindwa kujibu)
sasa ndo nini kusema wapo kama baba, ndio kina nani hao kama baba?Wapo kama baba ila hakuna kama mama.
Ah ha! Kwa hiyo hii blanket generalization ya nani kama mama haihuuuu. Ni vyema kuangalia kila situation on a case by case basis.
Kuna wengine tumefanya yote ukiondoa kunyonyesha kwa nyonyo. Tumenyonyesha kwa vyupa. Kuna kina mama wengine siku hawanyonyeshi kwa nyonyo. Ni chupa tu.
Tumebadilisha dirty diapers. Doctor visits hatukukosa. Tumekesha sana usiku. Si unajua watoto walivyo? Wengine usiku hawalali. Some of us have done it all and we still dont get appreciated by some people. Im glad my Princess appreciates me and knows for a fact Im irreplaceable.
Babu kenda wapi aje afanye hitimisho? Wameshakubali hoja wote
Nyie watu wawili hapo juu, Hii thread inafungwa kwa msimamo wa babu katika post hii hapa chini.Baba anamfanya mama asimame aweze kulea watoto kwa ukaribu.......pia baba analea watoto....
Katika sumaku....ni ncha ipi muhimu zaidi?
Kama ilivyo hakuna kama mama...na hakuna kama baba....
ODM hebu funga hii kitu..
Na mdogo wangu akamalizia kwa muktadha wa hoja maridhawa kabisa hapa chiniKwahiyo ishu hapa ni kutojenerolaiz siyo?
Kwama si kina mama wote wana sifa ya NANI KAMA MAMA
Na siyo wanaume wote hawana sifa NANI KAMA BABA.
Sawa si sawa?
Hapa nakataa
Chauro kasema wazi wazi, bila kutafuna maneno kwamba kwa maisha ya sasa huu msemo wa HAKUNA KAMA MAMA umechuja sana nguvu tofauti na zamani.
Baba akifa utambadili na mwanaume gani???? Kama huwezi kujibu hili basi kubali tu kwamba HAKUNA KAMA BABA
Mama nae akifa utambadili na mwanamke gani??? Basi nae hakuna kama Mama.
Huu ndio ukweli, wala tusitake kupunguza ulazima wa uwepo wa baba.
Asha D,
Kukubali kusema HAKUNA KAMA BABA hakupunguzi sifa ya HAKUNA KAMA MAMA.
Kubali tu kwamba Baba nae hana mbadala.
Usipambanishe Baba na Mama.
Ulikuwa wapi mpenzi wangu?
Ungekuwa wa kwanza kuchangia, isingefika mbali huku.....UMENENA VEMA kama Barak Obama.
Ukiondoa kukumiss, babu hajambo sana.
Matatizo gani hayo mbona humwambii babu? Nani kama babu?
hakuna kama babu
babu ni babu
bila babu bibi
asingeitwa bibi ..
na bila babu bibi
asingefurahi
hahahahahh lol
matatizo ni mazito mazito kidogo mmmhhhh
Hakuna matatizo mazito kwa babu....kama una ujauzito we sema tu....
Nani kama mtia ujauzito? Hakuna kama mtiwa ujauzito.