Nani huyu jamani

Nani huyu jamani

Kweli kabisa, mbona wao huwa wanatupia picha za wanawake wakali sie hatujanuna jamani!!
Sasa mtu kutupia picha wanakereka!! Au wana interest zao hivyo inawauma!!!
Kwahiyo unakili kuwa wewe ni NUNGA???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Heheheheeh ngoja tuwakere zaidii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha tu mtu anakereka kweli akiona video je
Au ni yule jamaa wa barua ya wazi kwako Dec mwaka jana ameona humpi attention? Kazi unayo. Halafu ukute ndo amekufa ameoza, utatumiwa radi ikumalize [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Au ni yule jamaa wa barua ya wazi kwako Dec mwaka jana ameona humpi attention? Kazi unayo. Halafu ukute ndo amekufa ameoza, utatumiwa radi ikumalize [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahahahah hata simkumbuki hata jina aisee
Wanitupie tu radi mie
 
Hivi kwanini watu wanakereka mtu akiweka uzi wake? Ulitaka apost picha yako wewe? Au picha ya mkeo? Wanaume wazima mnatokwa povuuu. Au mnadhani hili jukwaa la dini. Mnaboa sana kupangia wenzenu cha kupost as if mnawawekea nyie bundle. Kitu cha mtu kinakukwaza pita pembeni usicomment sio kuja kuandika kama vile we babake. Wote wazima humu tunajua tunachofanya.
Halafu wengine kujitia kuandika ufala humu mnakuja pm kuandika pumba zenu endeleeni.
 
Back
Top Bottom