Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #101
Hivi huyu kaka si anatufaa kwa matumizi halali kabisa ya yale mambo yetu etii,,ila huyu niachie nawee uliahidi hapa umeniachia nipambane weweewWatu wanapanic.
Hivi huyu kaka si anatufaa kwa matumizi halali kabisa ya yale mambo yetu etii,,ila huyu niachie nawee uliahidi hapa umeniachia nipambane weweewWatu wanapanic.
Ni rafiki tu mwifwa mpango wangu na wewe uko pale paleHongera sana.
Yasiishie kwenye simu basi
Tatizo ni kwamba hawamfikii kwa uzuri ndo mana wanapanic....watu wa ajabuuHivi kwanini watu wanakereka mtu akiweka uzi wake? Ulitaka apost picha yako wewe? Au picha ya mkeo? Wanaume wazima mnatokwa povuuu. Au mnadhani hili jukwaa la dini. Mnaboa sana kupangia wenzenu cha kupost as if mnawawekea nyie bundle. Kitu cha mtu kinakukwaza pita pembeni usicomment sio kuja kuandika kama vile we babake. Wote wazima humu tunajua tunachofanya.
Halafu wengine kujitia kuandika ufala humu mnakuja pm kuandika pumba zenu endeleeni.
Sisi wapuuzi hahaha nani anataka heshima humu mi sikujiunga jf nipewe heshima inanipeleka wapi alaaaHivi kwanini watu wanakereka mtu akiweka uzi wake? Ulitaka apost picha yako wewe? Au picha ya mkeo? Wanaume wazima mnatokwa povuuu. Au mnadhani hili jukwaa la dini. Mnaboa sana kupangia wenzenu cha kupost as if mnawawekea nyie bundle. Kitu cha mtu kinakukwaza pita pembeni usicomment sio kuja kuandika kama vile we babake. Wote wazima humu tunajua tunachofanya.
Halafu wengine kujitia kuandika ufala humu mnakuja pm kuandika pumba zenu endeleeni.
Usijali bana.Ni rafiki tu mwifwa mpango wangu na wewe uko pale pale
Tupooo pakashume mwenzetuMapakashume mpoo??
EhehheheheTatizo ni kwamba hawamfikii kwa uzuri ndo mana wanapanic....watu wa ajabuu
Yes, anafaa kwa matumizi ya binadamu jamii ya warembo na wasafi.Hivi huyu kaka si anatufaa kwa matumizi halali kabisa ya yale mambo yetu etii,,ila huyu niachie nawee uliahidi hapa umeniachia nipambane weweewView attachment 686228 docta anawachungulia wanaopanic tu cheki kasura jama ,kapuaa uuuuh
Kweli kabisa namimi sitaki zimzuie kunywa maji kabisaa nataka anyweeUsijali bana.
Ila kumbuka kelele cha vyura havimzuii tembo kunywa maji
Mkaka mtamu kama asali.Hivi huyu kaka si anatufaa kwa matumizi halali kabisa ya yale mambo yetu etii,,ila huyu niachie nawee uliahidi hapa umeniachia nipambane weweewView attachment 686228 docta anawachungulia wanaopanic tu cheki kasura jama ,kapuaa uuuuh
Hapa nimelowa kabisaaMkaka mtamu kama asali.
HahahahTupooo pakashume mwenzetu
"Unakiri"Kwahiyo unakili kuwa wewe ni NUNGA???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Yesu na maria!Hapa nimelowa kabisaa
Hahahahaha espy"Unakiri"
Kweli kabisa.Itakua wanamtaka mama Saby! Ko anavyompost Dr wanaloose hope[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nakaribia kurusha majiYesu na maria!
Picha ya mkaka inawatoa roho wanataka nisifie mwanamke ana dudu?Tupia mama kwani sh ngapi.watajijua kwa raha zako