Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
- Thread starter
- #41
hivi nyie usiku wa manane huwa mnafanya nini mlioko TZ? ama ndo mambo yetu ya kupepea na Ungo :cheer2:
Ah, mi nilikua zangu humu JF. Sijui wengine walikua wapi.jamani@mwali ndo nini natamani kuvichomoa hapo kwenye screen ninywee chai
Hivyo vitumbua we acha tuu. Mwenyewe nimevitamanije!