Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 798
Karibu, ndo nini kupotea hivyo bila hata kuaga? Mzima lakini wewe? Mwalimu nanii hajambo?Labbaik, nimeitika
Karibu, ndo nini kupotea hivyo bila hata kuaga? Mzima lakini wewe? Mwalimu nanii hajambo?Labbaik, nimeitika
eti eh? Yuko wapi jamani?
(siku nyingi sijamtia jichoni)
Ndio nimegundua. Nilidhani nitakua peke yangu, kumbe...