CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ruhazwe JR
Tunasubiri zawadi zetuuuuuuuuuuuuuuuuu....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona Hakieleweki!!!!!!!!!!!!!
Umeona eeeeeeeeeeeehhhhhhhhhh........
TUNATAKA ZAWADI ZETUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Hivi huyu mshindi wa Pili Arabela yuko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............!!!!!!!!!!!!! Arabela toka huko ulikokuwa uje huku TUDAI ZAWADI.
TUNATAKA HAKI YETU..........................TUNATAKA HAKI YETU...............
Mmetutembeza na Vininiliu tu mbele ya Watazamaji leo hii hautaki kutupa Haki yetu.
nipooooooo. Yani dah Ruhazwe amepoteeea. Twataka zawadiiii
Wapi Gazeti letu pendwa la udaku la JF????
Naomba kichwa cha habari cha leo kisomeke hiv
SHINDANO LA MISS CHIT CHAT LAINGIA DOA... MUANDAAJI AINGIA MITINI NA ZAWADI ZA WASHIRIKI
copy to: Chimbuvu, Slave, Mu-sir, watu8, Erickb52, Nicas Mtei, Arabela, Madame B masopakyindi Samaritan na kitalolo
bila kuwasahau Invisible na Moderator
Kaingia Chaka, na tutaenda kumchomoa Huko Huko.
Wapi Gazeti letu pendwa la udaku la JF????
Naomba kichwa cha habari cha leo kisomeke hiv
SHINDANO LA MISS CHIT CHAT LAINGIA DOA... MUANDAAJI AINGIA MITINI NA ZAWADI ZA WASHIRIKI
copy to: Chimbuvu, Slave, Mu-sir, watu8, Erickb52, Nicas Mtei, Arabela, Madame B masopakyindi Samaritan na kitalolo
bila kuwasahau Invisible na Moderator
Bado tupo kwenye kikao cha wadhamini na tunataka kupiga picha na washindi pamoja na kuwapa maua,sasa aliyepewa tenda ya kusambaza maua kala nyasi
tumuombe Mzizi mkavu ampige kipapai tehetehtehete.
sijawahi ona mashindano washindi wanadai zawadi namna hii.
labda ile timu ya znz ilipewa zawadi wachezaji wakajigawia huko huko.
Ebu tumpe muda kidogo huwezi jua yaliyomkuta maana siwe amini kama Ruhazwe JRanaweza kimbia na laki moja tumpeni muda atakuja kutoa maelezo hapa au anafanya utaratibu wa kutoa zawadi kama alivyoahidi.
kuweni wapole charminglady Madame Bna Arabela
tumuombe [MENTION]Mzizi mkavu[/MENTION] ampige kipapai tehetehtehete.