Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'NAFASI YA UPENDELEO'?
Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.
Hii haikubaliki kabisa kijana.
Hivi mamiss ni wale ambao hawajaolewa tu? Umesema zawadi ya kwanza ni gari eeh? Naanza kulala gym.
mkuu Zinduna....Huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.

mie nikitaka kuwania?
mkuu Zinduna....
Nafasi ya upendeleo imetokana na hatua yangu binafsi ya kuweka washiri angalau wawe sita badala ya wa nne na kigezo nilichotumia kuwachagua kuwapa nafasi ya upendeleo nimeangalia wale amabo waliwahi kushika nafasi ya pili kwa kura nyingi,rejea mashinda ya miss october charminglady alikuwa wa pili, rejea mashindano ya miss chitchat mwezi wa Nove Arabela alikuwa wa pili na hawa wote walivunja record katika wote walio wahi kushika nafasi ya pili.
unazungumzia lara 1, kwanza ajawahi kufikia nafasi ya pili,na mara zote amekua akinisihi kuondolewa kuwania taji hata kama amependekezwa.Je unaswali? kila la khel katika kampen zako
Huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'NAFASI YA UPENDELEO'?
Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.
Hii haikubaliki kabisa kijana.
Hivi mamiss ni wale ambao hawajaolewa tu? Umesema zawadi ya kwanza ni gari eeh? Naanza kulala gym.
love you more wifi. Nimesalimika.Wifi huko gym usiniache... Alafu tuweke taratibu Ms na Miss ziwe equivalent na sie tugombee mwakani baada ya kuwa portables. Lol
Nakusalimu with Love. :mwaaah:
love you more wifi. Nimesalimika.
Na kweli kuwe na kategori ya wazee. Na hiyo tuchanganywe na wanaume manake wanawake wazee twataka usawa. Nakupa na viwalo vya gyn vya kuanzia ila kama unataka hijab utajitegemea hiyo.