Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Kuna watu walizoea sana maisha ya ujanja ujanja na wizi wizi...Yule jamaa aliwapiga pin sana lazima wamchukie tu....Watanzani mlitaka rais mkali na dictator mnaanza kulia kulia..

Hii nchi usipokuwa mgumu kama JPM mambo meeengi lazima yakugomee kuanzia kwenye uchumi, siasa, utamaduni na kila mahala..Lile Jamaa lilikuwa na maamuzi haijalishi mabaya au mazuri wakati wengine hiyo kuamua tu ni shida.

Dola lazima iogopwe na iheshiwe na watu wote, JPM aliipa dola heshima na michezo ya kipumbavu dhidi ya dola ikafa au kupungua....Watu kama Manji, Mo hawa waarabu na wahindi walikuwa wakiichezea hii nchi watakavyo na mpaka kuidharau dola wao na wajukuu zao..

JPM pamoja na mambo yake ambayo inaonekana wengine walikereka lakini alikuwa ni Rais aliyepaswa kuiongoza hii nchi kwa miaka zaidi ya 20....Kuteka, kuua ni moja pia ya kazi ya dola kwa wajinga wote wanaoweza kuhatarisha uhai na misingi ya nchi gizani huku mbele ya wananchi wanajiita wema...tutambue ni serikali pekee dunia inayoweza kujua mipango ya gizani ya kila raia wake..

RIP JPM.....tulitofautiana mitazamo kwenye mambo fulani lakini yapo mengi pia uliifanyia hii nchi na kufundisha watu hii nchi inataka kiongozi aina gani..
 
Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?

Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?

Je, ni TAL wa Chadema?

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Japo simjui ni nani aliyetajwa kuwa na faili Mirembe, lakini watu kama hao, tunao wengi tuu na hawana mafaili mirembe ila...
P
 
Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?

Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?

Je, ni TAL wa Chadema?

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Bwashee nyoosha tu maelezo hii biashara ya kumuingiza TAL hapo wakati Diallo hajawah mpigia kampeni 🤣🤣🤣🤣
 
Maoni ya huyu mzee kuhusu katiba mpya nayasapoti.. kuhusu Mirembe... sifa ya kwanza kuwa hicho Chama ni unafki wa kiwango cha PhD.. Sishangai kwa hili pia
 
Mataga tulishatoa tamko kwamba TLS ni mgonjwa wa akili mkapinga ona Sasa Leo hii imethibitika kwamba alikua na file Milembe haya Sasa Chadema mjitafakari kumbe hata

Jiwe alikua mzima wa afya kabisa na alikua na akili timamu na mbaka Leo anaongoza nchi Kwa kishindo

Ni El mamvi tu ndio alikua mgonjwa tungempa nchi angefia Ikulu!

(In Bia yetu voices)

Nadanganya wadau?
 
Diallo amesema kulikuwa na dalili zote za kushindwa uchaguzi 2015 ikabidi wafanye kazi ya ziada. Wewe ni watanzania gani unaowazungumiza walitaka Dikteta??
Kuna watu walizoea sana maisha ya ujanja ujanja na wizi wizi...Yule jamaa aliwapiga pin sana lazima wamchukie tu....Watanzani mlitaka rais mkali na dictator mnaanza kulia kulia..

Hii nchi usipokuwa mgumu kama JPM mambo meeengi lazima yakugomee kuanzia kwenye uchumi, siasa, utamaduni na kila mahala..Lile Jamaa lilikuwa na maamuzi haijalishi mabaya au mazuri wakati wengine hiyo kuamua tu ni shida.

Dola lazima iogopwe na iheshiwe na watu wote, JPM aliipa dola heshima na michezo ya kipumbavu dhidi ya dola ikafa au kupungua....Watu kama Manji, Mo hawa waarabu na wahindi walikuwa wakiichezea hii nchi watakavyo na mpaka kuidharau dola wao na wajukuu zao..

JPM pamoja na mambo yake ambayo inaonekana wengine walikereka lakini alikuwa ni Rais aliyepaswa kuiongoza hii nchi kwa miaka zaidi ya 20....Kuteka, kuua ni moja pia ya kazi ya dola kwa wajinga wote wanaoweza kuhatarisha uhai na misingi ya nchi gizani huku mbele ya wananchi wanajiita wema...tutambue ni serikali pekee dunia inayoweza kujua mipango ya gizani ya kila raia wake..

RIP JPM.....tulitofautiana mitazamo kwenye mambo fulani lakini yapo mengi pia uliifanyia hii nchi na kufundisha watu hii nchi inataka kiongozi aina gani..
 
Kumbe wewe ni MATAGA? Mbona unakwepesha kwepesha? Kwani Tundu Lissu amewahi kuwa Rais wa Tanzania? Amesema kabisa tulimchagua Rais mwehu alikuwa na file Mirembe? Jiwe

2015 Kikwete alimuombea Diallo nafasi ya upendeleo kibiashara kwa Magufuli! Ilikuwa kipindi cha kampeni sababu ilikuwa kujitoa kwake kwa chama
 
Diallo amesema kulikuwa na dalili zote za kushindwa uchaguzi 2015 ikabidi wafanye kazi ya ziada.Wewe ni watanzania gani unaowazungumiza walitaka Dikteta??

Huyo Diallo hiyo analysis ya kushindwa uchaguzi alitumia factors zipi maana kama maoni hata mimi, wewe na yule ana yake..

JPM 2015 ndiye alikuwa game changer wa CCM, CCM walikuwa hawana namna zaidi ya kumsimamisha JPM ambaye wananchi tulio wengi wakati ule tulikuwa na imani naye na tuliamini ni mwaminifu, mchapakazi na sio mpigaji kama hao akina Diallo wanao lialia..

2015 CCM walishinda kihalali kabisa na hii ilisababishwa na mtazamo mpya tuliokuwa nao dhidi ya Magafuli... CHADEMA kumsimamisha EL nao lilikuwa kaa la moto kwao na advantage kwa CCM...
 
Hakuna mtu alitaka Rais haramia wa kupeleka agents wa kuua watu waliokuwa na mawazo tofauti, ama kuchukuwa pesa za watu kwenye mabenki, ama kuwapakazia kesi zisizokuwa na dhamana, ama kuchapisha makaratasi ya kura na kujipigia mwenyewe na kuzipeleka vituoni chini ya ulinzi wa polisi... Kama wewe unafurahia hali hiyo, utakuwa mgonjwa (a pervert). Hukuelewa walichokitaka Watanzania. Asante Mungu kwa kuingilia kati.

Back
Top Bottom