Nani anaweza nisaidia jinsi ya kuverify location skrill

Line unayo lkn unatapatapa kama mfa maji.. si uset hayo manuva ..
Kuset nirahisi ila ukifikisha 250 tu wana ihold mpaka uiverify wa kutumia docs zinazothibtisha kuwa uko kenya ndiyo maana sijafanya hivyo bado, na mimi withdraw moja ni zaidiya hiyo limit
 
Duh!
 
Siku ndo naanza,kutumia,skrill waliniwezaa nilikuwa nafanya muamala mdogo sana baadaee.

Nikaji logaa kutoa dollar 700 wee imefika tu na waka lock mpaka ni verify account.

Nilitafutaa hadi nikapataa..
 
wajinga wale unawza juta
 
yes mkuu au wanai withdraw via bank acc
Ku withdrawal kupitia bank account nilikuwa nafanyaga vile vile lakini nikakoma baada ya kupata card ya payoneer, na huo ukawa ndo mwanza wa kuachana na skrill mdogomdogo na nakumbuka pesa ambayo ilibaki kwenye account iliishia kufanya online shopping!
 
payoneer now iko back full loaded skrill natupa kule payoneer ni bomba japo nao makato yao kwa local atms sio rafik
 
Yale makato ya ATM sio Payoneer. Kama huwa unatumia ATM za CRDB ningekushauri jaribu kwanza kutumia za NMB. Kwa mfano, kutokana na kushuka kwa shilingi, jana nimefanya transaction za less than $184 kwa kila TZS 400K lakini ingekuwa CRDB si ajabu ingekuwa inakaribia $190. Nilishaachana na ATM za CRDB na NBC zamani sana kwa sababu makato yao ni makubwa ukilinganisha na NMB.

Aidha, makato mengine ni ya card issuer, yaani wale jamaa waliofilisika (Wirecard), ndo maana juzi nikasema tusubiri huyo card issuer mwingine tuone kama patakuwa na unafuu wa makato.
 
Natumia CRDB kuna siku nilidraw milion moja lak mbili wakakatazaidi ya lak sijui lak na 30 yani nilidraw mara tatu lak 4 mara 3
 
Kwa NMB isingefika kiasi hicho. Kwa sababu, ukichukua mwanzoni mwa mwaka jana ambapo shilingi ilikuwa na nguvu kidogo, maximu ambayo ingekuwa debited kwenye akaunti yako ingekuwa $187x3 ambayo ni $561. Kwa maana nyinginee, kwenye hiyo $561 ambayo ingekuwa debited, ungetoka na 1.2M. Lakini nina uhakika ukiangalia statement yako ya Payoneer, utakuwa wame-debit zaidi ya hiyo $561 kwa hiyo mihamala 3.
 
Yah wamedibit zaidi ya hiyo ila bora kuliko skrill. in case ninatakadraw ela ndogonimeunga akdi yangu kwenye paypal ambayo iko connected a safari com so uwa natumia hiyo njia ni cheap sana yani naituma kupita paypal to another paypal nayoweza toa kwa safari com
 
Hebu weka screenshoot ya hiyo bank statement yako hapa kwenye kipengele cha address nione ulivyojaza mkuu
picha.jpg
 
Mkuu mbona sioni postcode hapo?
huoni upande waa kushoto apo juu nilikofuta jina lanu penye p.o box ndipo kuna annuani ya makazi na meni yote forery tu na ilicukua tu masaa matatu nikawa verified
 
Mkuu skrill nilishindwa kuverify wakanifungia pamoja na hela zikiwa humo.Sasa changamoto ni kwamba sikumbuki nilikuwa nimejisajili skrill kwa anwani gani kwa hiyo nashindwa kwenda bank ku-update address information ili zifanane na za kwenye skrill kwa sababu za kwenye skrill sizikumbuki!
 
Hizo mimi sijaenda bank nimedit tu maana crdb pasua kichwa waajiliwawenyewe hawaelewi mimi mechukua bankstatement ya email nikaadd hiyo kitu. kama wakumbuka anuani rahisi tu kuiverify
 
Uliadd kivipi sasa?Ulitumia pc?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom