Nani anaweza nisaidia jinsi ya kuverify location skrill

Nishakuwa approved tayari limitation washaondoa na email washanitumia. naona hata payoneer wamemaliza matatizo yao
Wow! Congratulation Mkuu manake kwa usumbufu wa Skrill ukishakuwa approved lazima upate relief! Kuhusu Payooner, yah wameshakuwa poa jambo ambalo sikutarajia kabisa manake wale WireCard ule mpunga waliopigwa, mzee! Yaani ingawaje kwenye akaunti nilikuwa na vidola kadhaa lakini vidola vyangu nikavisahau nikaanza kuwafikiria wao wapo kwenye situation gani.
 
Wana accept boss
I mean no disrespect, but sio kweli Boss!! Hawa watu mie nimefanya nao kazi za aina mbalimbali, na kubwa zaidi inayoendana na hoja yako ni ile kutoka kampuni inaitwa EvidentID. Hakuna cha mambo ya affidavits kule! Linapokuja suala la ID, hata haya ma-Voter ID huwa hawayakubali. ID pekee inayoweza kuingia nayo popote ni Driving License au Passport, manake hata haya ma-Citizenship ID, kwao ni kama chaguo la mwisho in case hauna Passport au Driving License.
 
Wow! Congratulation Mkuu manake kwa usumbufu wa Skrill ukishakuwa approved lazima upate relief! Kuhusu Payooner, yah wameshakuwa poa jambo ambalo sikutarajia kabisa manake wale WireCard ule mpunga waliopigwa, mzee! Yaani ingawaje kwenye akaunti nilikuwa na vidola kadhaa lakini vidola vyangu nikavisahau nikaanza kuwafikiria wao wapo kwenye situation gani.
Wamepigw kisi gani mkuu, maana nilipokuwa email kuwa naweza kuwidraw pesa yangu washamaliza kuwa audited, yan jana hiyo hiyo nimedraw na wamesema wata issue new card. Hivi unaweza tuma salio ulilonalo skrill kwenda safaricom?
 
Niliverify skrill account kwa fesibuku.... Aiseer sikuamini macho yangu... Ilikuwa rahisi sana....
kwa facebook ni rahisi sana mkuu, ili mradi jina na details zako ziwe sahihi sasa tatizo sisi wengine waongo waongo halafu mimi sina account ya facebook niliifunga toka 2016
 
Nahitaji kuverify location skrill kila document ninayo upload inakataliwa nani anaweza nipa ujanja
Kwanza ni document ganii una upload. Usije una upload za kizembee na je una tumia smart phone.

Yanguu ni mdaa tokea 2017 nahisi sio kwazi kubwa.

Screenshot_20200701-080128.jpg

Sent using mt4 app
 
Wamepigw kisi gani mkuu, maana nilipokuwa email kuwa naweza kuwidraw pesa yangu washamaliza kuwa audited, yan jana hiyo hiyo nimedraw na wamesema wata issue new card. Hivi unaweza tuma salio ulilonalo skrill kwenda safaricom?
Audit Report inaonesha Euro 1.9 Billion went missing! Hiyo ni karibu Trilioni 5 pesa ya Bongo!! Aidha vitabu vinaonesha wana madeni ya Euro 3.5 Billion, ambayo ni zaidi ya Trilion 8 za Bongo! Kwahiyo wala sikushangaa niliposikia watatoa kadi mpya kwa sababu WireCard ndo kwaheri! Swali lililobaki ni je new card issuer charges zake zitakuwa vipi! Zitakuwa nafuu kuliko za sasa, zitabaki vilevile au zitakuwa juu!!

Kuhusu kutuma pesa kutoka Skrill to SafariCom, I doubt kama inawezekana! Niliachana na Skrill miaka mingi kidogo iliyopita na partly kwa sababu walikuwa hawatoi kadi kwa Tz. Na kama huna kadi yao, I doubt kama unaweza kufanya transfer kutoka Skrill to SafariCom. Na ukiwa na balance yoyote, kama huna kadi kuitoa hiyo pesa ni sharti kwa wire transfer to your bank account. So, ukitaka kupata jibu sahihi, angalia kama kuna option ya kupata kadi. Kama ipo basi apply for virtual prepaid master card na baada ya hapo utaweza ku-transfer to M-Pesa. Kama option hiyo haipo ina maana bado TZ hatupo eligible kupata kadi na kwahiyo sidhani kama inawezekana kuhamisha to MPesa!!

All in all, SafariCom wananitia wivu sana, sijui kwanini kampuni za simu TZ wanashindwa kuwa aggressive kama SafariCom. Unajua SafariCom hata Upwork inatumika!
 
No watu wanatoa kwa safaricom na kuna option ila kwangu inaonyesha inabid ela niitume from visa.
Ila mimi nishatoa pesa mara kibao kupitia kwa mtu uwa anatumia safari com sema amefariki pia nishatoa kupitia kwa Mwalim ctrl
 
Ina maana hao wanaotoa hawatumii physical debit card wala virtual card ?
 
Sasa hiyo si ni lisk mkuu maana unanunua zikishuka je..
Hapana nanunua na kuuza hapohapo na mnunuaji nakuwa nishaona rate yake tayari, ile the wholeprocess nimepoteza kama 30000 which ni sawa tu hata ngetoa kwa payoneer still ningechajiwa zaidi ya hiyo nilitaka nimtumie mwl crt sema ye akawa ana conversion ya $1 kwa 1940 nikaacha
 
Hapana nanunua na kuuza hapohapo na mnunuaji nakuwa nishaona rate yake tayari, ile the wholeprocess nimepoteza kama 30000 which ni sawa tu hata ngetoa kwa payoneer still ningechajiwa zaidi ya hiyo nilitaka nimtumie chief mkwawa sema ye akawa ana conversion ya $1 kwa 1940 nikaacha
Itabidi kutafuta safaricom mkuu hakuna namna..
 
Ninayo sema account yangu ni ya tanzania so siwezi withdraw labda nije nitengeneze ya kenya maana ukisema utumeto safari com kama siyo account ya kenya haitumi kutoka kwenye balance uliyonayo bali source inakuwa card yako
 
Nini ngumu sasa mkuu..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom