Nani anaweza nisaidia jinsi ya kuverify location skrill

I mean no disrespect, but sio kweli Boss!! Hawa watu mie nimefanya nao kazi za aina mbalimbali, na kubwa zaidi inayoendana na hoja yako ni ile kutoka kampuni inaitwa EvidentID. Hakuna cha mambo ya affidavits kule! Linapokuja suala la ID, hata haya ma-Voter ID huwa hawayakubali. ID pekee inayoweza kuingia nayo popote ni Driving License au Passport, manake hata haya ma-Citizenship ID, kwao ni kama chaguo la mwisho in case hauna Passport au Driving License.
Skrill wanakubali Affidavit upande wa proof of residence,

Hizo ID pia national id wanakubali...na ukiweza kuongea nao hata voter's id wanakubali...mim nme verify kwa affidavit na voter's id..sema hapo kwenye voter hadi nilipo ongea nao kuhusu upatakanaji wa Id Tanzania ni kipengele wakanielewa.
 
Miminimeverify kwa leseni ya udereva na bank statement
 
Shukraniii mkuu

Screenshot_20200705-143653.jpg
 
Hapa waki verify ninatakiwa ku order card au natumia card ya kawaida tu.

Na ku withdraw pesa ni atm yoyote
Hawana hiyo huduma kwa tanzania either ni kudeposte kwenye account au mpesa kwa ujanja wa kuipitise kenya au localbitcoin unanunua bitcoin na kuuza hapo hapo unalipwa kwa mpesa
 
Hapa waki verify ninatakiwa ku order card au natumia card ya kawaida tu.

Na ku withdraw pesa ni atm yoyote
Order card utaipata ndani ya week mbili japo sina akika kama watakutumia maana ata sisi tulionazo kuna atari zikabadiriswa kulikuwa na tatizo na partner wao wa UK anayetoa kadi adi walikuwa wamefreeze ela iliyokuwemo kwenye kadi japo walisolve baada ya siku 3 tu
 
Hivi mkuu ni kampuni gani ambayo ninaweza kudraw kwa mastercard au visa card?Yaani nakuwa naweza kuwirhdraw kwenye ATM yeyote
Una maana ya bank au? Mimi ninatumia payoneer nadraw kwenye atm yoyote kasoro umoja switch sema hawa wenye hizo atms wana makato siyo mazuri lakini Maisha yanaenda
 
unaweza kutumia hiyo payoneer kudeposit pia?Yaani kwa mfano kama nataka kutuma hela kampuni X inawezekana?
Yes rahisi tu ujue payoneer ni sawa unakuwa na account offshore mfano marekani au germany au china au U.K wanakupakabisa bank acc na kila detail kama ni marekani inakuwa city bank, kama U.K inakuwa barclays ila haipokei ela toka personal aacount inapokea ela toka kwa makampuni mfano ukiwdraw ela from skrill, amazon, upwork, frelaancer, ali express apo fresh au brokers wa forex
 
Nasoka commenr kujua payonner inavyo fanya kazii ila wapii hata sielewii.

Kuhusu ku withdraw kwa atm za bongo.

Kuhusu pesa ikiwa kwenye payonner account unakuwa na uwezoo wa kupata vipi pesa mkononi kama mtu amekutumia

Sent using mt4 app
 
Order card utaipata ndani ya week mbili japo sina akika kama watakutumia maana ata sisi tulionazo kuna atari zikabadiriswa kulikuwa na tatizo na partner wao wa UK anayetoa kadi adi walikuwa wamefreeze ela iliyokuwemo kwenye kadi japo walisolve baada ya siku 3 tu
Kadii si lazima ulipieee au wanatuma bure

Sent using mt4 app
 
Mim nimeverify kwa affidavit vizur tu
Skrill wanakubali Affidavit upande wa proof of residence,

Hizo ID pia national id wanakubali...na ukiweza kuongea nao hata voter's id wanakubali...mim nme verify kwa affidavit na voter's id..sema hapo kwenye voter hadi nilipo ongea nao kuhusu upatakanaji wa Id Tanzania ni kipengele wakanielewa.
Then you're luck, lakini wala sio ya kuitegemea hiyo unless mbishane sana kama ambavyo miaka kadhaa iliyopita nilivyowahi kubishana na xm.com kwa kuwaambia acheni kukariri na kudhani duniani kote address format zipo sawa, na kuwaeleza wazi maeneo mengi Afrika hata majina ya mtaa hayapo documented sasa sijui hizo physical address zitatoka wapi!

The only reliable source kwa ku-verify physical address ni Bank Statement, or utility bills ambazo Kibongo Kibongo hazisaidii kwa sababu zina Box # pekee.
 
Sure
 
Kwaio hii bank statement niifate Bank??

Kama sina bank acc naanzia wapi

Hiii skrill ilinipa kiwango cha mwisho wanataka kunitoa roho

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom