Nani anaweza nisaidia jinsi ya kuverify location skrill

unaweza tumia any editin softaware kama photoshop au illustrator any software iayoweza manipulate pdf au picha mimi nilitumia photoshop
Shukrani mkuu!Sasa mhuri na signature ya bank si zitakuwa kama zimetolewa photocopy?
 
unaweza tumia any editin softaware kama photoshop au illustrator any software iayoweza manipulate pdf au picha mimi nilitumia photoshop
Sasa mkuu mhuri na signature ya bank si zitakuwa kama zimetolewa photocopy?
 
Audit Report inaonesha Euro 1.9 Billion went missing! Hiyo ni karibu Trilioni 5 pesa ya Bongo!! Aidha vitabu vinaonesha wana madeni ya Euro 3.5 Billion, ambayo ni zaidi ya Trilion 8 za Bongo! Kwahiyo wala sikushangaa niliposikia watatoa kadi mpya kwa sababu WireCard ndo kwaheri! Swali lililobaki ni je new card issuer charges zake zitakuwa vipi! Zitakuwa nafuu kuliko za sasa, zitabaki vilevile au zitakuwa juu!!

Kuhusu kutuma pesa kutoka Skrill to SafariCom, I doubt kama inawezekana! Niliachana na Skrill miaka mingi kidogo iliyopita na partly kwa sababu walikuwa hawatoi kadi kwa Tz. Na kama huna kadi yao, I doubt kama unaweza kufanya transfer kutoka Skrill to SafariCom. Na ukiwa na balance yoyote, kama huna kadi kuitoa hiyo pesa ni sharti kwa wire transfer to your bank account. So, ukitaka kupata jibu sahihi, angalia kama kuna option ya kupata kadi. Kama ipo basi apply for virtual prepaid master card na baada ya hapo utaweza ku-transfer to M-Pesa. Kama option hiyo haipo ina maana bado TZ hatupo eligible kupata kadi na kwahiyo sidhani kama inawezekana kuhamisha to MPesa!!

All in all, SafariCom wananitia wivu sana, sijui kwanini kampuni za simu TZ wanashindwa kuwa aggressive kama SafariCom. Unajua SafariCom hata Upwork inatumika!
Mkuu Skrill huwa wanakataa kutuma pesa kwa card za Mastercard sijui shida ni nini
 
Yah wamedibit zaidi ya hiyo ila bora kuliko skrill. in case ninatakadraw ela ndogonimeunga akdi yangu kwenye paypal ambayo iko connected a safari com so uwa natumia hiyo njia ni cheap sana yani naituma kupita paypal to another paypal nayoweza toa kwa safari com
Mbona mimi siwezi pokea pesa kwa paypal
 
Hapa pamenishindaaa kabisaa.

Screenshot_20200704-221141.jpg
 
Bro sorry iv ninaweza kumtumia mtu alie UK akanifanyia verification account yangu na nikawa na uwezo wa kudraw pesa hapa TZ bila shida make naona huku inanichomoa kidg.
Skrill au? Na udraw kwa njia gani
 
Mkuu Skrill huwa wanakataa kutuma pesa kwa card za Mastercard sijui shida ni nini
Sijaelewa swali lako! Ni matumaini yangu unafahamu Skrill hawatoi Card kwa accounts zilizofunguliwa Tz. Hivyo basi, kama Skrill Account yako ina pesa, pesa hiyo huwezi kuitoa kwa kadi kwa sababu kuitoa kwa kadi ni lazima uwe na kadi yao. Kama pesa n ya kutosha, kuipata hiyo ni lazima uitume kwenye bank account lakini kama pesa yenyewe ni ndogo, basi fikiria jinsi nyingine ya kuitumia kama kufanya online purchase au subiri iongezeke kwa sababu gharama za kuituma kwenda akaunti ya benki ni pasua kichwa.

Kama mishe unazopiga wanakubali Payoneer, na bado huna Payoneer Account, basi kuondokana na usumbufu kwa siku za usoni, we fungua tu Payoneer Account ambayo una uhakika wa kupata MasterCard utakayotumia kutolea pesa kwenye hizi hizi ATM Machines za kawaida.
 
Mkui mimi nime kwama hapaa sijuii ni jazee nini hebu nisaidee

Screenshot_20200704-221141.jpg
 
Mkuu Skrill huwa wanakataa kutuma pesa kwa card za Mastercard sijui shida ni nini
Yah unaweza kuituma kwenye Visa card tu ila kuna banks kibao wanatoa kadi za visa kuna kipindi crdb ulikuwa unachagua kadi unayotaka baina ya hizi mbili kama wataka master card au visa
 
Yah unaweza kuituma kwenye Visa card tu ila kuna banks kibao wanatoa kadi za visa kuna kipindi crdb ulikuwa unachagua kadi unayotaka baina ya hizi mbili kama wataka master card au visa
CRDB mpaka sasa unachagua mi kuna kipindi niliwahi kuwa na mastercard ya crdb ilikuwa ni hovyo balaa ilikuwa inakataa kutoa hela kwe atm baadae nikaja hamia visa iko poa mpaka kesho,nadhan mastercard wana shida kidogo
 
Yaani u-verify Skrill Account kwa affidavit? Wameanza lini kutumia huo utaratibu?! Mimi ninayo Skrill Verified Account na nimeshawahi kuitumia mara kadhaa na sikumbuki kuulizwa affidavits! Tatizo tunalokutana nalo Bongo ni address format! Mbele address zao zinakuwa na physical address wakati Bongo addres zetu ni Box #, tosha!! Na sio Skrill tu, kuna mitandao mingine mingi tu kama hauna doc yenye physical address lazima utakwama tu! Na docs wanazotaka hapa ni utility bills (kama vile water or electricity bills) au Bank Statement.
Mim nimeverify kwa affidavit vizur tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom