Omuchimati
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 427
- 202
1.Atatoka katika koo za kitawala
2.Kabila la mkoa wake ni kati ya watu waaminiifu waliomtumikia Rais Jakaya Kikwete
3.Atumuenzi Baba wa taifa katika hali zote.
4.Atalindwa na walinzi wengi kuliko Maraisi waliopita.
5.Akipitishwa kugombea wengi watamuunga mkono.
6.Toka azaliwe hajawahi kutumia jina la dini yoyote,majina yake yamebeba utashi wa Mwafrika.
7.Atatembea na fimbo ndevu kama ya mzee ingawa si mzee.
Naenda kinyume na utabiri wa Mtoto wa Sheikh,ndimi mtumishi wa Bwana.