bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,209
- 2,920
Hivi hii kazi ya kushinda kutaja majina badala ya sera na mifumo sahihi itatupeleka wapi? Tumekua kama walevi tu
Siku zote kwa nchi ambazo zina mtazamo chanya wa maendeleo kinachojadiliwa ni sera za kiuchumi za chama kwanza na si mtu (individual)
Kwa maana nyingine ndugu Ben Saanane tunatakiwa kuangalia vipaumbele vya kimaendeleo (sera) za vyama kwanza, ili baada ya hapo ndo tuangalie ni nani anafaa kuzisimamia zile sera. (suitable presidential candidate)
Last edited by a moderator: