Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

1. raisi awe...........................................................Chenge
2. Wazri Mkuu.......................................................Ngeleja
3. Madini..............................................................Muhongo
4.Nje...................................................................Tibaijuka
5.Sheria...............................................................Mujluzi
6.Uchumi.............................................................Maswi
7.Elimu................................................................Werema
8.Mshauri wa uchumi.............................................Rugemalira

Nawahakikishia Nchi itapaaa kiuchumi kwa kasi ya kutisha!

lazima na mlima kilimanjaro uhamie kanda ya ziwa
 
Wana jf,

mh. Steven wasira anaweza kutuondoa katika dimbwi hili la umasikini endapo atapewa nchi 2015. Atawakomesha mafisadi na kuibalanzisha nchi kwa wenye nacho na wasiokuanacho.

Tumpe fursa ili atuondolee tatizo la ajira na kuutokomeza kabisa adui njaa ,maradhi, ujinga na kuifanya tanzania kama ulaya.

Kiufupi inawezekana kwani nchi hii ni tajiri sana. wasira1.jpgwasira2.jpg
 
Hii sasa kero,naleo tena nyama?Tunaumizana pua jamani!!!
 
Kijana huchoki tu na wasira wako na mapicha picha yake? Tunakukataza unaanzisha uzi mwingie. Kwa nini husikii? Amekuahidi cheo gani?

Mwanangu, usipelekeshwe na tamaa ya kupata upendeleo kutoka kwa wasira kwamba utanufaika akiwa raisi kama walivyonufaika genge la jk.

Tambua kwamba hao wote walionufaika kwa hujuma, tunakwenda kuwashughulikia bila kujali nani ni nani. Kwa hiyo, usidanganyike, marupurupu hayo ya kupeana gizani yana majuto makubwa mbele.

Tushirikiane kupata kiongozi mzuri wa nchi ambaye atatuongoza Watanzania katika kuondoa umakini na tabu zetu kwa matumizi sahihi ya raslimali zetu bila ubaguzi, hila wala ubinafsi.

Achana na huyo mzee laghai, mwongo asiyekuwa na uzalendo atakusababishia matatizo hata kabla ya uchaguzi.

Tunahitaji kiongozi sahihi siyo hawa walaghai ccm, wachonganishi ambao wametufikisha kwanye mateso tuliyo nayo.

Nadhani hutaleta tena nyuzi zako za kutumwa na wasira hapa!.
 
:shock::shock:

Kwani kiongozi bora lazima awe mpinzani...

Kwa jinsi hii wasiopenda wapinzani hawaruhusiwi kutoa maoni/maono/ndoto/hoja zao kwenye jukwaa hili....

Sorry, but hii ni sawa na BOKO HARAMU .... yaani kuweka ukomo wa wigo wa kutoa maoni binafsi na ni sawa na kupiga vita DEMOKRASIA
 
iyo ni kweli maana walianza kumchafua mama yetu msomi na mwenye sifa za kimataifa mwenye kupenda maendeleo prof. anna kajumulo tibaijuka kwa kumuhusisha na kashfa isiyomuhusu kabisa
 
Kijana huchoki tu na wasira wako na mapicha picha yake? Tunakukataza unaanzisha uzi mwingie. Kwa nini husikii? Amekuahidi cheo gani?

Mwanangu, usipelekeshwe na tamaa ya kupata upendeleo kutoka kwa wasira kwamba utanufaika akiwa raisi kama walivyonufaika genge la jk.

Tambua kwamba hao wote walionufaika kwa hujuma, tunakwenda kuwashughulikia bila kujali nani ni nani. Kwa hiyo, usidanganyike, marupurupu hayo ya kupeana gizani yana majuto makubwa mbele.

Tushirikiane kupata kiongozi mzuri wa nchi ambaye atatuongoza Watanzania katika kuondoa umakini na tabu zetu kwa matumizi sahihi ya raslimali zetu bila ubaguzi, hila wala ubinafsi.

Achana na huyo mzee laghai, mwongo asiyekuwa na uzalendo atakusababishia matatizo hata kabla ya uchaguzi.

Tunahitaji kiongozi sahihi siyo hawa walaghai ccm, wachonganishi ambao wametufikisha kwanye mateso tuliyo nayo.

Nadhani hutaleta tena nyuzi zako za kutumwa na wasira hapa!.

hayo ni maoni yangu wala sijatumwa na mtu. mh. wasira anauthubutu na ni mtendaji anafaa sana tu
 
Kiongozi bora ni yule mwenye uchungu na nnchi yake kuipenda na kuithamini mzalendoooo na kuijali kuliko kutanguliza haja ya tumbo lake kwanza!
 
Hawa ukawa wamezoea kula ugali hasa wakija kula mkate wenye Asali lazima wapigane haaaa!!!
 
Tatizo la Makamba ni pandikizi la Kagame. Nasikia Sara hivi PK anampa tu mihela!. Jamani tuwe careful wabongo, Makamba ana vinasabq vya kitutsi kupitia kwa mama take hamwezi amini!
 
Back
Top Bottom