Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Wakuu hivi punde nimetoka kukimaliza kukisoma kitanu kilichoandikwa na Padre Karugendo. Katika kitabu hiki kuna maswali 40 aliyoulizwa makamba na majibu ya maswali hayo. Kwakweli nimejifunza mengi sana ndugu zangu, ya kwamba Makamaba ni kijana mwenye upeo mkubwa sana.

Ila najiuliza, hivi kati ya Mkamba mbaye hana kashifa yoyote na huyu Lowassa mwenye kashfa nyingi zikiwemo za kugawa fedha makanisani na misikitini nani nani anafaa kuwa rais wa nchi wetu? Binafsi naona Mkamba anafaa sana, mwenzengu wewe waona nani nafaa?

View attachment 218708 View attachment 218709
mimi ndio nafaa
 
Jana uliuliza kati Dr. Slaa na Makamba nani anafaa?

Leo unauliza kati Lowasa na Makamba nani anafaa?

Kesho utauliza kati ya Mwigulu na Makamba nani anafaa?

Ukimaliza Utafiti wako utuletee na matokeo yake.

ha ha ha ha mkuu, usijali, utaupata kama ndivyo hivyo.
 
Usiandike hana kashifa yoyote,ungesema huzijui kashifa zake.

Na kwa nini Lowasa ndo awe benchmark ilhali wasaka urais waliojitokeza wako wengi tu?

Tafuta uzi humuhumu jamvini juu ya Makamba kukutana na wachungaji wa kanda ya ziwa huko Mza na kugawa bahasha za khaki.

Halafu uchache wa kashifa ni kigezo ambacho wasaka urais wengi wanacho so kipi cha ziada kilichopo kwa Makamba chenye kinapimika? Why not Wasira,Kigwangala or even Membe?

Uchache wa kashifa pekee hauwezi kuwa kigezo cha kutupatia kiongozi tunayemtaka kwa sasa kama taifa.


hizo ndio kashfa za makamba au za kupika?
 
Mzee wa Maleria No More....vs asiweza kuwa rais wa njiii hii hahahahahaaha u made my day!!!
 
ndio,, tunaweza kumteuwa yeyote kati ya watajwa wa URAIS
lakini mwisho wa siku tukawa tunajilaumu,,,,
tuna tatizo moja si dogo,, ktk swala la kusahau! sidhani kama tuna maradhi hayo
ila tatizo letu ni "KUDHARAU"
Ndio,, kwanza kabisa tuna "fikra mgando" kwa kuamini etii,,,
kiongozi akiwa kijana anadhaniwa hajakomaa kisiasa!!!
kwani kukomaa kisiasa ni kupi hukoo???
kutukana hovyo,kuiba au kutoa rushwa?
tusijifanye kusahau ufisadi na wizi wa E.N.LOWASSA ktk taifa letu
alifanya hivyo akiwa n waziri mkuu!! sasa akiwa zaid ya hapo itakuwaje?
kwakweli nashindwa kuelewa inakuwaje mTZ mwenye akili timamu anaamua kuwa mtumwa wa huyu
mh.? kwa maana "tumesahau" ufisadi mkubwa aliofanya ktk wadhifa wake
kuna watajwa wa urais ambao tunawajua n "MAFISADI PAPA" lkn tunapotezea!!!
sijui lowassa,chenge,ngeleja nk. hawa wote wananuka ufisadi
lkn kuna kijana mpole,mchapakazi,MZALENDO ameamua kutangaza nia,,,,
nimejaribu kufuatilia recod zake kwa ujumla sijaona kasoro zozote zinazomuhusu

NI JANUALY YUSSUF MAKAMBAView attachment 218734
 
mijadala hii itafuata siku hadi siku lakini kwa leo tunaanza na hawa.

1. SAMWELI SITTA
2.MIZENGO PINDA
3. JOHN MAGUFULI.
huu ni mwaka wa uchaguzi. watanzania hivi sasa wanaumiza vichwa usiku na mchana kuhusu atakayevaa kiatu cha kikwete. unadhani nani hasa kati ya hao hapo juu ni mtu sahihi kwa nafasi ya rais wa awamu ya tano wa nchi yetu.
Usitukane wala kukejeli
 
Wote hawafai kabisa, anaefaa ni Dr Slaa dume lenu la mbegu , manake hamkosi kumsifia kuwa anawanyang'anya wake. Atashindwaje kuwanyang'anya wake wakati mnashinda na kulala kwenye mitandao ambayo inamaliza kabisa nguvu za kiume !!?

mh. steven wasira anafaa kuwa rais wa nchi hii
 
Tusijadili majina.... Kulingana na changamoto tulizonazo sasa, na wakati uliopo. Wote waje na sera zitakazotuonyesha mlango wa kutokea.
 
Dr. Slaa ili kawanyonge mafisadi wote kuanzia awamu ya pili,tatu na nne
 
mh. steven wasira anafaa kuwa rais wa nchi hii

acha kabisa. Mimi namfahamu wasira tangu bado anafanya kazi Kigoma na kipindi anavaa kaptura ma kutembelea malapa wakati anagombea mara ya kwanza miaka ya sabini. Wewe unajua kilichomtoa Mara wakati alipokuwa Mkuu wa mkoa na akawajika kwenda kusoma nje ya nchi bila kupenda? Kama hujui basi humjui Wasira kabisa.
 
WanaJF,

Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.
Mie apa
 
mijadala hii itafuata siku hadi siku lakini kwa leo tunaanza na hawa.

1. SAMWELI SITTA
2.MIZENGO PINDA
3. JOHN MAGUFULI.
huu ni mwaka wa uchaguzi. watanzania hivi sasa wanaumiza vichwa usiku na mchana kuhusu atakayevaa kiatu cha kikwete. unadhani nani hasa kati ya hao hapo juu ni mtu sahihi kwa nafasi ya rais wa awamu ya tano wa nchi yetu.
Usitukane wala kukejeli

.
1: gang leader & killer (watu wanadhani Ni Ubabe, Ni habit Za gang leader)
2:- hajawahi Kuwa serious mjingamjinga flan.
3:- Mchapa KaZi, barabara nampa dole ila mdhaifu Kweli kwa kinadada.
 
1. raisi awe...........................................................Chenge
2. Wazri Mkuu.......................................................Ngeleja
3. Madini..............................................................Muhongo
4.Nje...................................................................Tibaijuka
5.Sheria...............................................................Mujluzi
6.Uchumi.............................................................Maswi
7.Elimu................................................................Werema
8.Mshauri wa uchumi.............................................Rugemalira

Nawahakikishia Nchi itapaaa kiuchumi kwa kasi ya kutisha!
 
Back
Top Bottom