Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
THUPU YA KOKOTO at your best
sasa wewe unasimamia upigaji kura na tayari umeishapiga kura kwa dr slaa, hauoni kama unaweza ukaharibu mchakato?
sasa wewe unasimamia upigaji kura na tayari umeishapiga kura kwa dr slaa, hauoni kama unaweza ukaharibu mchakato?
Umejuaje kapiga yeye?
Moderator Cookie Mhariri Active sidhani kama mmeitendea haki hii Poll kwa kuiunganisha na uzi wa mwaka 2009 - ingependeza kama walau hii thread ya kura ingekuwa peke yake ili maoni mengineyo ya watu (chaguo jingine n.k) yaweze kuonekana kirahisi na watu wote - tafadhalini.Wakuu,
Nilikuwa kwenye mazungumzo na raia mmoja wa kigeni mwenye biashara zake hapa Tanzania akataka kujua maoni yangu kuhusu ni nani hasa atakuwa rais anayefuata wa Tanzania.
Ni wazi kwamba bado ni mapema mno kutabiri na kulingana na upepo wa kisiasa unaoendelea kuvuma kwa sasa nimeshindwa kuwa na jibu la moja kwa moja japokuwa mimi ninaye ninayetamani achukue nafasi hii ya kulipeleka taifa letu mbele kutoka hapa lilipo.
Nimechukua fursa hii basi, kutengeneza hii poll ili kila mmoja wetu apige kura yake tujaribu kutabiri uelekeo wetu japokuwa bado ni mapema.
Nitoe angalizo dogo tu, si lazima umpigie kura yule ambaye wewe unampenda, ila yule ambaye kwa mtazamo wako anaelekea kukubalika na sehemu kubwa ya jamii mpaka sasa.
Nimechagua majina machache ambayo kwa mtazamo wangu yanaongoza vichwa na fikra za wapiga kura - ikiwa mgombea unayemdhania hayupo hapa basi unaweza kumuandika kwa kureply kwa hii mada.
Asante.
46664.
kumbe ni kura za jf!, kama ni hizi, hakuna hata haja ya kuja kutoa msaada maana rais wa jf, anajulikana!.
kumbe ni kura za jf!, kama ni hizi, hakuna hata haja ya kuja kutoa msaada maana rais wa jf, anajulikana!.
p.