Nani anafaa kuwa dada wa taifa kati ya Mange Kimambi na Rachel Dangwa?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa

Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa

Rachel Dangwa amempiku na amejizolea umaarufu mtandao kuliko Mange Kimambi

Rachel Dangwa anakimbiza huko tik tok.ni hatari
Screenshot_20250821-213507.png
Screenshot_20250821-213651.png
 
Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa

Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa

Rachel Dangwa amempiku na amejizolea umaarufu mtandao kuliko Mange Kimambi

Rachel Dangwa anakimbiza huko tik tok.ni hatariView attachment 3448397View attachment 3448398
Rachel ni dawa ya stress anapiga kwenye mshono
 
Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa

Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa

Rachel Dangwa amempiku na amejizolea umaarufu mtandao kuliko Mange Kimambi

Rachel Dangwa anakimbiza huko tik tok.ni hatariView attachment 3448397View attachment 3448398
yani rachel dangwa huyo kahaba anaejiuza huko nje miaka na miaka ndio umlinganishe na mange? are you even serious? au wewe ndo rachel unatafuta umaarufu sasa?
 
Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa

Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa

Rachel Dangwa amempiku na amejizolea umaarufu mtandao kuliko Mange Kimambi

Rachel Dangwa anakimbiza huko tik tok.ni hatariView attachment 3448397View attachment 3448398
Wachana na mambo zisizo na manufaa
Bora ligi ianze tuu
 
Back
Top Bottom