Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

Usatrump. Nakuunga mkono. Kweli inaonekana uko vyuma havijakaza, that's why wameshiba haswaaa.
 
1. Kuvaa nguo ni matokeo ya dhambi

2. Adam na Eva walijiona wako uchi tuu baada ya kutenda dhambi,hivyo kama hutendi dhambi nguo haina maana yoyote kwako

3. Ona Ndege wenye rangi nzuuri kama tausi,chiriku, ona pundamlia,twiga, mbwa na paka hasa hasa vikizaliwa vikiwa vidogo vinavyovutia wote wale wapo uchi lakini hatujawahi kufikiri kama wapo uchi na tunatamani hata tuwashike, wale hawatendi dhambi na ndio neema ya kukikingwa dhambi ya asili ambayo Babu zetu Adam na Eva waliitenda

4. Wamasai, watindiga na wabarbaigi hawavai nguo lakini wanaishi kwa amani

5. Asili ya waafrika wote walikuwa hawavai nguo na hizi nguo zimeletwa kama tamaduni za waarabu na wazungu waliokuja na dini na kutulazimisha tubebe dini pamoja na mila na desturi zao

6. Huwa ninapinga vikali baadhi ya watu kwa imani zao walizolishwa na wakoloni kuwalazimisha watu wengine wavae watakavyo wao bila kujali yule mtu ana imani tofauti na yeye.
Vipi kuhusu Yesu ?
 
Acheni kutudhalilisha jamani,hivi hamjui kuwa kuna wanawake humu..?
 
Hayo matumbo makubwa ni kwa ajili ya mashindano. Vijana wanaopenda huingia kambini kwa miezi sita huku wakila damu iliyochanganywa na maziwa. Ktk kipindi hicho Cha miezi sita hakuna kugegeda, baada ya miezi sita sherehe hufanyika kuchagua mshindi mwenye tumbo kubwa zaidi. Baada ya sherehe, washiriki hurejea ktk mili yao ya awali baada ya wiki chache na mshindi huenziwa maisha yake yote

Duuuuuh taabu iko pale pale!!
 
Back
Top Bottom