Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

Kuna mapacha wa3 wa bodi tribe kuna miss bodi tribe na kuna jamaa mbele pako mbele sana na nyuma pako nyuma sana haya mambo bna hv na wao wanajua kama kuna simu mpapaso?
images%20(1).jpeg
unnamed.jpg
images.jpeg
 
Hiyo ya unywaji damu ilochanganywa na maziwa mtindi umenikumbusha kipindi nilipata jando nilikunywa sana huo mchanganyiko
Na hili kabila linafanya hivyo hivyo wakiwa msituni katika sherehe maalumu ya jando kwa muda wa miezi sita...
 
haya nangu ndo nzee mwene lipanda uve kwachi wako

Inaonekana hawajui shida wala hawana stress kwa muonekano wao

Ni kweli, kwasababu, hawazi kujenga, nyumba yenye yenye mahitaji ya matilio ya dukani, kuwa vitamgarimu pesa, hawanunua nguo, wala chakula.

Hawahitaji gari wala Baiskeli, wala hawawazi kusomesha, wala mashamba ya kilimo.
Kijumla mahitaji yao hayahusiani na mambo ya pesa.
 
Back
Top Bottom