Nani ameshawahi kufanya hii kitu?

Nani ameshawahi kufanya hii kitu?

mr man city

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
467
Reaction score
320
Ambaye ameshawahi kujaza jino lililotoboka, kitaalam wanaita ROOT CANAL naomba anipe uzoefu. Mimi niliwahi kusafisha tu jino la huku mwisho yanaitwa magego 2016 ila sikurudi kulijaza mpaka leo. Sasa linauma hatari mpaka kutafunia kitu haiwezekani tena.
 
Sijawahi fanya ivyo

Dawa ya jino kun'goa tu
 
Sijawahi Fanta root canal lakini ninaufahamu mziki wake
 
Ambaye ameshawahi kujaza jino lililotoboka, kitaalam wanaita ROOT CANAL naomba anipe uzoefu. Mimi niliwahi kusafisha tu jino la huku mwisho yanaitwa magego 2016 ila sikurudi kulijaza mpaka leo. Sasa linauma hatari mpaka kutafunia kitu haiwezekani tena.
Nimejaza jino 2003 mpaka leo fresh
 
Nipe experience kidogo mkuu. Ulijaza wapi na ilikuwaje.
Wakati huo nikiwa Kahama Mining huko Kakola. Kulikuwa na daktari wa meno mzungu, alikuwa na sijui niseme dispensary ya neno pale Mwanza mjini. Alikuja kwenye dispensary ya mgodi na akaliziba. Halijawahi nisumbua hadi Leo. Ni gego la pili chini, kulia
 
Hizo vitu wanaingiza kwenye njia za mishipa ya neva kwenye jino waliziweka? Naona kuna hizo vitu kama chuma wanazijaza kuua mawasiliano ya jino na neva.? Au walivyokuwa wanaliziba hawakukusafisha jino lote ili kuua mawasiliano ya jino na mishipa?
 
Ambaye ameshawahi kujaza jino lililotoboka, kitaalam wanaita ROOT CANAL naomba anipe uzoefu. Mimi niliwahi kusafisha tu jino la huku mwisho yanaitwa magego 2016 ila sikurudi kulijaza mpaka leo. Sasa linauma hatari mpaka kutafunia kitu haiwezekani tena.
pole kwa tatizo hapa naona kila mtu mshauri ipo hivi kuna tofauti kati ya ROOT CANAL na KUJAZA JINO LILILOTOBOKA
ROOT CANAL-Kinachofanyika hapa madactari wanakata mawasiliano kati ya jino na misuli ya jino so jino linakuwepo kama jino bandia tuu ila hawalitoi baada ya muda maumivu yanakata unabaki na jino lako kmakawaida ilalinakua jino ambalo limekufa ila unatafuna kma kawaida.
JINO LILILOTOBOKA .kuna vitu fulani ambavyo wanaita utambi wanatumia kuingizakwenye jino sehemu iliyotoboka lakini hii inategemea na jino limetoboka au limeharibia kwa kiwango gani sio kila jino linaweza kuzibwa au kilajino linaweza kufanyiwa root canal inategemea na tatizo limefikia wapi.naomba kuwasilisha.
 
Mimi nilizibiwa meno matatu miaka 35 iliyopita kwa kutumia Mercury na mpaka leo natafuna hata chuma ( kidding)
 
Pia ni kuwa muangalifu wa baadhi ya dawa za meno,mfano ni dawa ya Smokers.Inatoboa meno makuu.

Colgate Original inasaidia kurudisha jino kama lilianza dalili za kutoboka.
 
Wakati huo nikiwa Kahama Mining huko Kakola. Kulikuwa na daktari wa meno mzungu, alikuwa na sijui niseme dispensary ya neno pale Mwanza mjini. Alikuja kwenye dispensary ya mgodi na akaliziba. Halijawahi nisumbua hadi Leo. Ni gego la pili chini, kulia
Afadhali maana nilifikiri ni wale wanafunzi wa Rembo wa Muhimbili ningesema unatuongopea
sitasahau balaa la pale, licha ya mbwembwe nyingi za kuibiana pesa sijui x- Ray mara nini
Bora pale Tandika hawana mbwembwe lakini wanajua kazi.
 
Nlifanya hiyo kitu 2015 pale Hindu Mandal, Dr. Kenneth alihusika! Nadunda mpk leo! Miguu ya kuku wa Kienyeji inasononeka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom