deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habari wadau,nimesoma sehemu kua nchi hiyo rais wao amekaa miaka 40 je katiba yao ikoje na maendeleo ya nchi hio yakoje? Mwenye kufahamu nchi hiyo nisaidie siifahamu vizuri karibuni.
Rais anadai amesalimika majaribio 10 ya kupinduliwa!Rais na familia yake wana nyumba mtaa mmoja France . Ni kama wamiliki wa mtaa
Ka nchi kadogo kana utajiri wa mafuta lakini watu wake ni masikini wa kutupwa. Rais na watoto wake wana majumba mpaka USANa ndio Nchi pekee AFRICA wanazungumza SPANISH!Rais anadai amesalimika majaribio 10 ya kupinduliwa!
Nasisi chama kimoja kimetutawala zaidi ya miaka 50 maendeleo yako je? Naona kama ni dictetor ule uleHabari wadau,nimesoma sehemu kua nchi hiyo rais wao amekaa miaka 40 je katiba yao ikoje na maendeleo ya nchi hio yakoje? Mwenye kufahamu nchi hiyo nisaidie siifahamu vizuri karibuni.
Ka nchi kadogo kana utajiri wa mafuta lakini watu wake ni masikini wa kutupwa. Rais na watoto wake wana majumba mpaka USA
Hivi nikihitaji kwenda huko ni lazima visa?Na ndio Nchi pekee AFRICA wanazungumza SPANISH!Rais anadai amesalimika majaribio 10 ya kupinduliwa!
Big no! Miaka kumi inatoshaUlitaka na jiwe akae miaka hiyo hiyo madarakani?
Weeeee maendeleo yakoje huko?Rais na familia yake wana nyumba mtaa mmoja France . Ni kama wamiliki wa mtaa
Ka nchi kadogo kana utajiri wa mafuta lakini watu wake ni masikini wa kutupwa. Rais na watoto wake wana majumba mpaka USA
Hivi nikihitaji kwenda huko ni lazima visa?
and their VP who is the presidents son, is a playboy, rides in the most expensive cars in the world, has mansions in almost all leading cities in the west, but the population lives in ABJECT POVERTYRais na familia yake wana nyumba mtaa mmoja France . Ni kama wamiliki wa mtaa
mkuu you can google that county pls, kwa swahili unaweza kugoogle hio taifa na ukajisomea weyewe, sasa si katika miaka ya 60s na 70s , google imefanya kazi iwe rahisi mkuuHabari wadau,nimesoma sehemu kua nchi hiyo rais wao amekaa miaka 40 je katiba yao ikoje na maendeleo ya nchi hio yakoje? Mwenye kufahamu nchi hiyo nisaidie siifahamu vizuri karibuni.