rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,855
Bhasi wewe unaejua Historia ya Science endelea kuongea...!!Ungekuwa unajua hata historia ya kanisa au hayo unayoyaita maandiko usingekuwa unaongea hivyo.



yani mnatumia Nguvu sana kuaminisha watu Mungu hayupo kisa nyie hamuamini kitu ambacho sio sawaa. Kama wewe huamini tulia acha wanaoamini waendelee na imani zao usijidai mjuaji kuquestion imani za wengine akati hiyo science unayoishikilia huji chochote hata historia yake huijuiii.