Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Tujadiliane kimantiki.

1.Define Mungu ni nini.

2.Thibitisha Mungu yupo.

Mantiki kama fani haina uwezo wa kumfanya mtu aujue ukweli. Sema tujadiliane kwa kufata taratibu za mijadala na adabu zake na kuukubali ukweli pindi ukibainikiwa nao. Hizi ngonjera za "Mantiki" ni uongo na kupoteza muda.
 
Swali lako halina mantiki.Acording to Hawking,Hakukuwa na muda before creation,So huwezi kuuliza what was there or who created what before time,Because there was no "before" .Hauwezi kuuliza nani kamuumba muumbaji wakati uumbaji hufanyika ndani ya muda (Cause & Effect) Na Muda haukuwepo kabla ya uumbaji wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muumba wa mbingu na ardhi.
Be more specific kwasababu according to Wikipedia kuna atleast Mungu 135 ambao wote wana claim waliumba mbingu na nchi.
IMG_20200527_233312_261.jpeg
 
Halafu kuna dini ya Budha ambayo haiamini kuwa kuna Mungu
Mkuu nenda hospital kuna kiuvimbe kichwani Kwako.. uvimbe ukikuondoka akili zako zitakuwa sawa... yaani utakuwa unahakiki kabla hujazungumza jambo...
 
Kuwa serious basi...unataka nioneshe data za Mungu 135??
Wewe sema Mungu yupi unayemuongelea
Wewe ndio unatakiwa uwe serious, sababu unachokiandika kipo kinyume na uchodai, huwezi kusema miungu ulio wataja hapo wanadai wameumba mbingu na ardhi halafu ukiombwa ushahidi utake mtu awe serious ? Unafikiri kuna userious ganu zaidi ya huu ninao kutaka unipe ushahidi.

Sasa hatutaki utoto na kupotezea watu muda, kama jambo huna elimu nalo kaa kimya, sio unajifaragua halafu ukiulizwa unalia lia. Narudia tena weka ushahid wa hayo madai wa hao Miungu ulio wataja kwamba wanadai wao ndio wameumba mbingu na ardhi.


Mola wangu mimi nimeshasema huko juu ni yule aliyeumba mbingu na ardhi,halafu unarudia kile nilichokiandila huko juu. Hatulei ujinga sisi, kama huna jibu kaa kimya.
 
Tujadiliane kimantiki.

1.Define Mungu ni nini.

2.Thibitisha Mungu yupo.
Asiyejadili kimantiki ni wewe, nilikuuliza kwanini unaniambia nithibitishe? hujanijibu ila umekazania tu kuniambia nithibitishe Mungu yupo.

Ndio nakuuliza ili iweje?
 
Mungu gani?

1.Define Mungu ni nini.

2.Thibitisha Mungu yupo.
Unaniuliza Mungu gani? halafu hapo hapo unaniambia ni define Mungu ni nini? Na tena hapohapo unadai na uthibitisho?

Hivi hata wewe unaelewa unachokifanya au ndio ilimradi kubishana tu?
 
Sasa hatutaki utoto na kupotezea watu muda, kama jambo huna elimu nalo kaa kimya, sio unajifaragua halafu ukiulizwa unalia lia. Narudia tena weka ushahid wa hayo madai wa hao Miungu ulio wataja kwamba wanadai wao ndio wameumba mbingu na ardhi.


Mola wangu mimi nimeshasema huko juu ni yule aliyeumba mbingu na ardhi,halafu unarudia kile nilichokiandila huko juu. Hatulei ujinga sisi, kama huna jibu kaa kimya.

Wewe ndiyo unataka tupotezeane muda..sina muda wa kuanza kuanalyse miungu 135 kila mmoja na wapi ali claim ameumba
Chakukusaidia nenda hapa Category:Creator gods - Wikipedia ujichagulie mungu yupi unamtaka itakudirect wapi anadai ameumba
 
Back
Top Bottom