Nani aliwahi kumuona Punda akijifungua?

Nani aliwahi kumuona Punda akijifungua?

Mimi siyo mjuvi sana wa kiswahili, lakini nijuavyo anayejifungua ni binadamu pekee, wanyama wanazaa.
 
Wanasema endapo utafanikiwa kushuhudia huyu mnyama akizaa basi utakuwa ni mtu mwenye bahati.

Amekuwa ni mnyama ni ngumu sana kumshuhudia akijifungua hata wachungaji wenyewe na ni ngumu kwani hata akiwa machungoni na uchungu ukampata basi atafanya kila njia akukimbie aende mbali huko akajifungue nia yake usifanikiwe kuliona wala kulishika lile kondo lake la uzazi.
Hata youtube hujaona? Kama bado tafuta
 
Umeenda mbali sana kuzungumzia punda ambaye anapatikana sehemu chache chache. NANI ALISHAONA KUNGURU WAKIPANDANA
 
Wanasema endapo utafanikiwa kushuhudia huyu mnyama akizaa basi utakuwa ni mtu mwenye bahati.

Amekuwa ni mnyama ni ngumu sana kumshuhudia akijifungua hata wachungaji wenyewe na ni ngumu kwani hata akiwa machungoni na uchungu ukampata basi atafanya kila njia akukimbie aende mbali huko akajifungue nia yake usifanikiwe kuliona wala kulishika lile kondo lake la uzazi.
Ingia yu-tube utamwona akizaa
 
Back
Top Bottom