🤣🤣🤣Siosio
SIO mwingine huyo atakua Mr MADERU
🤣🤣🤣Siosio
SIO mwingine huyo atakua Mr MADERU
Madelu aliwahi kuchora kesi ya Ugaidi dhidi ya Rwakatare afisa wa Ulinzi Chadema enzi hizo.Siosio
SIO mwingine huyo atakua Mr MADERU
RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
🤣🤣🤣Mtawasingizia Sukuma Gang mlishaambiwa haipo ni uhuni ulitengeneza na Familia ya Wazuri Hawafi ili kumzubaisha Mama na kumfix mambo mengi lakini Finaly Mama ameshuktuka amechana mkeka
RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
Umeambulia aibu. Leo utalala na viatu tenaTatizo sio Maraisi wetu bali tatizo lilikuwepo kwenye vyama vya upinzani na haswa chadema ambacho kiligeuka kuwa chama cha wanaharakati!!! kama haitoshi chadema kilikuwa chama cha kuhamasisha vurugu na chuki dhidi ya serikali!!
chadema ili jenga tabia ya ovyo kabisa kwa wanachama wake, kama vile tabia ya ujeuri ukaidi na kutukana viongozi !!
Endapo mwenyekiti Mbowe atarekebisha hiyo tabia kwa viongozi wenzake bila shaka wanachama pia watarekebika na hivyo nchi yetu itasonga vizuri zaidi.
Ni kweli lazima ni kakikundi ka watu wabaya. Na ameamua kuwachana laivu na ujumbe umewafikiaLazima tumtafute tuungane kama Taifa tumlaani, maana tunaamini huyo ndiye amemshauri mambo mengi Rais wetu ya kumpotosha hadi anahangaika kujinasua yeye mwenyewe
Usisingizie watu bila uhakika.Nina wasiwasi na ile inayoitwa Familia ya watu wazuri hawafi kina ZZK, Nape, Januari ndio haikutaka maridhiriano na Chadema hongera SSH kwa kufichua hiyo siri
Sio wazee wa Kikosi Kazi??Litakua kundi la walinda legacy. Sampu za akina Etwege
Hizo ni political divergence remarks, hamna logic, she had a message and platform that was too powerful for her to handle.RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
Mbowe ni gaidi tu,halikwepeki hiloNadhani issue ya Mbowe, ilimpa fundisho kubwa Sana.......
Akikumbuka namna walivyomlia timing na kumuingiza King, kuwa Mbowe ni gaidi, basi ameamua kuwazingua hao wasaidizi wake[emoji1]
Baada ya marudhiano na muafaka kupatikana, hakuna sababu ya kuendelea kumtafuta mchawi!.RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
Discussion gap kaitoa yeye labda akanushe, otherwise write up ya full document inaendeleaBaada ya marudhiano na muafaka kupatikana, hakuna sababu ya kuendelea kumtafuta mchawi!.
P
Kati hao mahafidhina mmojawapo atakuwa ni mwizi MwiguluHii kauli Rais ameitoa ikaniachia maswali, kwa huu uwazi wake ategemee kupata upinzani ndani ya chama chake, huku kutoa siri za ndani anakofanya, kutamfanya aonekane ana dharau ushauri anaopewa na wasaidizi wake wanasahau kumbe nae ana maamuzi yake kama kiongozi wao.
Anajua walishampoteza kwenye kumbambikia kesi Mbowe, sasa hawezi tena kurudia makosa, anaonekana ameongeza umakini wa kila analoshauriwa na watu wake wa karibu.
Ameshagundua wakati mwingine huwa hawana nia ya dhati ya kumsaidia, wanachofanya ni kumsukumia mizigo aonekane hafai mbele ya watanzania, ili wakati wa kutafuta mgombea utakapofika, wapate sababu ya kumkataa kumpa ridhaa ya kugombea tena, waseme yule mwanamke ni dhaifu, hatoshi.
Hata wafanye nini lakini watanzania tunamuamini sana Rais Samia Suluhu kwa ukweli na uwazi wake haijawai kutokea kiongozi mkweli kama Rais Samia Suluhu kila hatua anayoipiga katika uongozi wake anaiweka wazi hii ni hatua nzuri ya uongoziHii kauli Rais ameitoa ikaniachia maswali, kwa huu uwazi wake ategemee kupata upinzani ndani ya chama chake, huku kutoa siri za ndani anakofanya, kutamfanya aonekane ana dharau ushauri anaopewa na wasaidizi wake wanasahau kumbe nae ana maamuzi yake kama kiongozi wao.
Anajua walishampoteza kwenye kumbambikia kesi Mbowe, sasa hawezi tena kurudia makosa, anaonekana ameongeza umakini wa kila analoshauriwa na watu wake wa karibu.
Ameshagundua wakati mwingine huwa hawana nia ya dhati ya kumsaidia, wanachofanya ni kumsukumia mizigo aonekane hafai mbele ya watanzania, ili wakati wa kutafuta mgombea utakapofika, wapate sababu ya kumkataa kumpa ridhaa ya kugombea tena, waseme yule mwanamke ni dhaifu, hatoshi.
Rais Samia Suluhu amedhihirisha kuwa hawezi kuendeshwa na maamuzi ya watu wengine yeye kama kiongozi anamaamuzi yake binafsi watanzania tumefarijika sana kusikia tumekuwa kitu kimojaRAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
Sahihi na ukweli mtupuPitia hizo nyuzi zote kwenye mitandao ya kijamii zinazoongea kwa ghadhabu. Hao ni viongozi wa CCM wasioweza ushindani wa kisiasa, wamezoea mbeleko na hawako tayari kwa ushindani maana hawana uwezo wa ushawishi.
Mwaka umeanza vizuri mnoRais Samia Suluhu amedhihirisha kuwa hawezi kuendeshwa na maamuzi ya watu wengine yeye kama kiongozi anamaamuzi yake binafsi watanzania tumefarijika sana kusikia tumekuwa kitu kimoja
Wachawi leo watakimbiana. Bado tume huru ya Uchaguzi. Tume ikiwa huru japo 40% tu ya uhuru wake CCM byebye.Baada ya marudhiano na muafaka kupatikana, hakuna sababu ya kuendelea kumtafuta mchawi!.
P