Nanasi Lililoozea Ndani...

Last edited by a moderator:
Dah, ushaniharibia, nilikuwa na miadi leo. Ngoja nikabwie alter wine moja, maana ile makitu nikipata huwa ina deactivate kabisa hormone...

Hivi kumbe inasaidia? Itabidi niwe na chupa moja aisee. Itanisaidia kushinda majaribu.
 
kimbia uzinzi, utajuta.
 
nimejifunza kitu hiki nice things iz coming tomorrow asante kwa elimu nzur mtambuz
 
It's a lovely story na fundisho kwa maplayer wote na ving'ang'anizi wanaojifanya wao hakuna mwanamke anayewashinda.
 
Ushirika ni zaidi. Ya. Tuijuavyo mbe! Kontena la mama nanii lilivo kiwango kwa t.b.s ya macho ya nje ndani uozo,mungu tuepushe. Na hii dhahama
 
nimejifunza kitu hiki nice things iz coming tomorrow asante kwa elimu nzur mtambuz

Mkuu Mtambuzi ni baba yangu ndiyo lakini hadithi hii nimeiandika mimi!!!

It's a lovely story na fundisho kwa maplayer wote na ving'ang'anizi wanaojifanya wao hakuna mwanamke anayewashinda.
Crystal clear, na wewe ni mgumu kupatikana?

Cc: Asprin

Ushirika ni zaidi. Ya. Tuijuavyo mbe! Kontena la mama nanii lilivo kiwango kwa t.b.s ya macho ya nje ndani uozo,mungu tuepushe. Na hii dhahama

Kontena lipi mbe? Mimi nayajua mawili...

Huyu Mentor katuweka kundi la kifo...mbe

Jitetee mwenyewe mbe!
 
Last edited by a moderator:
Mbe" Mentor mananasi mengi mjini hapa yameoza kwa ndani ile nje mambo safi
Mbe" Hapana pima umbali kwa macho,
Ila mwambie Nicas anaweza kulala na bundi akaamka mwenye bahati..
Mbe ajali kazini mbe....leo nanasi linaweza kuwa safi kesho likaoza ndani kwa ndani
 
Wewe ni Mkare aisee....
Nimesoma na nimetamani tuitengenezee movie ili jamii ijifunze zaidi.
In serious note, naomba tuonane kesho hapo kwenye kijiwe changu cha kahawa ili tuandae huo mswada, nina mfadhili wa kutuwezesha.
Hii makitu inalipa aisee.
Mentor
 
Last edited by a moderator:
Mentor asante sana kwa kisa hiki ambacho kina ukweli na uhalisia ndani mwake. Hili ni janga na ni wachache wanachukua tahadhari ila kwa kweli hali ni mbaya sana
Mpigie Nicas aise ujue hata hali yake na status yake bana
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wengi wakishajua msichana ni bikra swala la kupima kabla ya tendo linakuwa halipo....mana anamwamini msichana moja kwa moja sababu ya bikra yake...
 
It's a lovely story na fundisho kwa maplayer wote na ving'ang'anizi wanaojifanya wao hakuna mwanamke anayewashinda.

Mbe...kuna wanaume hawataki kushindwa....ndo wajifunze ukiona unakataliwa kila kukicha ujue unaepushwa na janga...mbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…