NAMZIMIA JF member .....Lakini naogopa.....

NAMZIMIA JF member .....Lakini naogopa.....

Swthrt CANTALISIA nakuomba usimkubali maana kwanza hajiamini na ni mwoga . Alafu mbona ameingia chaka mapema kabla hata hajafunguka ? Njoo kwangu mpnz nikupe mambo matam matam hutajuta kuwa na mimi . Ukisema ndio ntakupa dunia nzima . Wasalam
dr luv
BUCHO.
 
Cantalisia bwana, you know what?? To love and be loved is the greatest happiness for existence. Tafadhali mpokee kijana asije akafa bureeeeeeeeeeeeeeeee. Hata mimi kuna binti nampenda sana ila kwa vile mimi ni mkubwa na siogopi nita mpm then akinikubalia tutaweka mikakati na mipango ya ndoa na arusi tutawaalika jf membaz wote.
 
Asante kwa ushauri bro, kifupi nimevutiwa nae sana ila kwa kuwa mimi ni si mwenyeji sana ndio maana niliona itakua busara kuomba ushauri toka kwenu wakubwa zangu.

Kisaka, unaonyesha una nidhamu ya hali ya juu na ustaarabu uliotukuka. Sasa anza kufanya utafiti kwa kupitia thread zake ujaribu kubaini kwamba je, matamshi na maoni yake yana ashiria anapenda bado boys au vipi....
 
Wana MMU mwenzenu namzimia sana huyu mdada member mwenzetu hapa jamvini jina lake linaishia na neno "............sia" lakini naogopa kumwambia au jinsi gani nimuanze,naombeni ushauri wenu wakubwa zangu( ma bro na sister zangu) plse!

kama unahofu ujue ana wenyewe......................kaa mbali.................hivi wawezaji kuzimiazimia bila mpangilio.......................lol............umemwona ana kwa ana....................au ni mapigo ya maandiko yake tu yamekulevya..........
 
Ok wengi wamasema unaniongelea mm,
Nataka kauli yako na si kupitia watu,JE UNAEMZIMIA NI MM CANTALISIA BINTI MTAMBUZI??????

Duh, alivyoona ngoma ina full ma-confidence dogo kaona isiwe taabu; keshaingia mitini!!! Nawe lazima ujue unaongea na nani, ulitakiwa uende slow slow ili umjenge kisaikolojia...c unaona kijana keshasepa?!
 
Swthrt CANTALISIA nakuomba usimkubali maana kwanza hajiamini na ni mwoga . Alafu mbona ameingia chaka mapema kabla hata hajafunguka ? Njoo kwangu mpnz nikupe mambo matam matam hutajuta kuwa na mimi . Ukisema ndio ntakupa dunia nzima . Wasalam
dr luv
BUCHO.

Acha wivu bana ulikuwa wapi siku zote hizo bro!
 
Mwanakwetu acha kumzingua mwenzio bana.....mie nampa namba yako alafu namuelekeza hadi nyumbani!! Lol
Hahahahahah,mwana kwetu naona nawe umenishikia bango lol!
Nasubiri akukiri km anamuongelea huyu huyu Cantalisia binti Mtambuzi au?
 
Swthrt CANTALISIA nakuomba usimkubali maana kwanza hajiamini na ni mwoga . Alafu mbona ameingia chaka mapema kabla hata hajafunguka ? Njoo kwangu mpnz nikupe mambo matam matam hutajuta kuwa na mimi . Ukisema ndio ntakupa dunia nzima . Wasalam
dr luv
BUCHO.
Tooobaaaaa!
 
Cantalisia bwana, you know what?? To love and be loved is the greatest happiness for existence. Tafadhali mpokee kijana asije akafa bureeeeeeeeeeeeeeeee. Hata mimi kuna binti nampenda sana ila kwa vile mimi ni mkubwa na siogopi nita mpm then akinikubalia tutaweka mikakati na mipango ya ndoa na arusi tutawaalika jf membaz wote.
Du!!!wananchi mna umoja!!
Kumbe mpo wengi,jitose tu japo ujiandae na kukataliwa pia lol!
 

Duh, alivyoona ngoma ina full ma-confidence dogo kaona isiwe taabu; keshaingia mitini!!! Nawe lazima ujue unaongea na nani, ulitakiwa uende slow slow ili umjenge kisaikolojia...c unaona kijana keshasepa?!
Khaaaaaaa!siamini km mwanaume anaweza kuogopa mtu asiyemjua mpaka asubiri kujengewa saikolojia!!
Ila alishakiri kuniogopa tangu mwanzo wa uzi so usishangae yeye kutoonekana!!
 
Ni kweli Cantalisia, nahisi wewe ndio kila kitu ktk maisha yangu, plse nakuomba unipokee ndani ya moyo wako...!
Ewaaaaa!wapambe wako walikuwa wanakulaumu kwa kuingia mitini,
Asante sn kwa kupata ujasiri wa kukiri kwa kinywa nakushauri siku nyingine ww funguka jina kamili tu as a real man bwana,

Kwanza nakupongeza kwa kuonyesha ujasiri huu wa kuongea live mbele ya wanajf maana wengi huwa wanasaidiwa na pm na huku sebulen watu wanakuwa hawajui nn kinaendealea kumbe wapo wanaougulia vibuti vya shingon na hata mwili mzima!

Pili nakushukuru kwa kunizimia mie binti mtambuzi japo hunujui vizuri na hukutaka kujivunga umeamua kumwaga sera zako,
Nakujulisha kupokea ombi lako kwa mikono miwili nikizingatia ustarabu uliounyesha hapa jamvin,

Kuhusu majibu naomba jaman wanajamvi mtuachie sie wawili maana naamini haitakuwa ustarabu kuyaweka hadharani hivi km mjuavo yapo ya aina tatu,ya kukubaliwa,kukataliwa au kusubiri so nieleweni kwa hili mwenyewe nitajua nimjibu nn huyu mheshimiwa kisaka,katu ya majaibu hayo,

Mwisho nawashukuruni wadau kwa sapoti mliyompa mheshimiwa huyu maana kuna wakati nilhsi kuna rushwa imetembezwa maana kila mtu amekuwa akimpigia debe nimpokee na sikupata wa kuniteea japo hata kuniuliza km namjua au laa!!najua alifurahia sana sapoti yenu ukizingatia ni mgeni humu lkn akawa km mwenyeji tayari,

Nawashukurui kwa yote in case of anything kuhusiana na hili basi mpata habari hapa hapa,
Nawatakia jpili njema,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom