NAMZIMIA JF member .....Lakini naogopa.....

Ndani ya siku 5 tangu uingie umeshamzimia? Au umekuja kivingine? Umenikumbusha enzi hizo unaandika barua halafu unaiweka katikati ya kitabu kabla ya kumpa "msichana wa sura nzuri". Au unamwita akfika wewe ndio unaanza kutazma chini. Tell it aaaahhh sorry tell her bwana ebo?
 
Wana MMU mwenzenu namzimia sana huyu mdada member mwenzetu hapa jamvini jina lake linaishia na neno "............sia" lakini naogopa kumwambia au jinsi gani nimuanze,naombeni ushauri wenu wakubwa zangu( ma bro na sister zangu) plse!

Kumbe wewe domo zege
 
Ndani ya siku 5 tangu uingie umeshamzimia? Au umekuja kivingine? Umenikumbusha enzi hizo unaandika barua halafu unaiweka katikati ya kitabu kabla ya kumpa "msichana wa sura nzuri". Au unamwita akfika wewe ndio unaanza kutazma chini. Tell it aaaahhh sorry tell her bwana ebo?

Asante kwa ushauri bro, kifupi nimevutiwa nae sana ila kwa kuwa mimi ni si mwenyeji sana ndio maana niliona itakua busara kuomba ushauri toka kwenu wakubwa zangu.
 
CANTALISIA njoo uone mtu anataka kuchukua nafasi ya Salvadore.
Nimeshakuja My dia Lizzy,
But mbona hajataja jina langu jaman,
Hope angetaja jina langu ningeweza sema chochote,
But as u know naitwa Cantalisia!! and not "sia"
Naweza kuwa anamwongelea mtu mwingine labda Asia!!!
 
Jaribu kumuuliza vizuri tuone kama ameingia kwenye anga za watu ama vipi
 
Back
Top Bottom