New Member

Mkuu nataka mchumba ambaye kajiunga na jf mwenyewe means yaani kavutiwa na Maarifa karibu sana tuwe marafiki nje ya jf
 
Hello guys,
Nashukuru kupata nafasi ya kujiunga pamoja nanyi katika jukwaa hili, nimatumaini yangu nitajifunza mengi mazuri kutoka kwenu hasa kwenye Siasa, ushauri, urembo na mengine mengi.
Shukrani
Karibu...
 
Watu wana comment uko kimya hu comment kumbe una ka ujeuri eee. Nakuuliza wee jeuri?😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom