Namuulizia Regina Mengi je ameolewa?

Picha mkuu
Habari wana jukwaa
Leo naomba nimuulize huyu bibie regina mengi...Jee ameolewa?jee ana watoto...hali ya mahusiano jee....

Kwa mnaomjua tafadhali huyu bibie ni mpole sana anavyoonekana mstaarab na muungwana pia...
 
hivi Reg ndo yule alikua kakaa na jack na watoto siku ya msiba,halafu baada kushoto kwake alikuwepo Abdallah Mengi,yule mwenye miwani?
 
Back
Top Bottom