TAWA na Kisewe ni wajinga wanaoamini katika ukabila na ndio tatizo la Waluguru.
hawaoni Miji iiliyoendelea Arusha, Dar-es-salaam, Mwanza kunamakabila mchanganyiko ambako Waluguru hawapo huko.
Kuna Makabila ambayo yanajihusisha na Biashara au Siasa Waluguru hawapo
Cha muhimu waache roho mbaya, mgeni yeyote ni mtanzania
Na wewe umekosea;alianza Mwl J.K.Nyerere kutoka Butiama mkoani Mara enzi za bunge la Tanganyika.Maisha yakasonga wakaibuka sasa waliofatia wakiwemo hao na kina Abbas Gulamali.Kiufupi mkoa wa Morogoro wako poa sana kuondoa ile dhana ya "Uzawa"
Kuna ka mkoa fulani kaskazini mwa nchi yetu nakachukia sana kwa kuwabagua watu kiuongozi kisa si Wazawa.As long as naichukia CCM huyu mama aondolewe tu but si kwa fact ya "uzawa",
Wabhejasana!!
ni vigumu kukueleweshaHuenda mawazo yako yapo sawa ila namna ambavyo umewasilisha ndiyo tatizo. huyu mama tunayemzungumzia ana takriban mwaka Wa kumi kama si kumi na tano lakini hakuna maendeleo zaidi ya kuwatumia waluguru kama daraja. Barabara mbovu, zahanati duni, majimbo yote mawili ya Moro (V) hakuna Shule hata moja ya high school. wilaya nzima vituo vya polisi ni vitatu tu.
Ila tuna kazi ya kufanya kidogo. huku wazee wengi hawaamini kabisa upinzani wengi wanafikiri kuwa upinzani ni vita.
You are jus as naive as everyone else hujui unachoongea. Asilimia 70 ya fedha zipo wapi? Mbona huo mgao wake hakuna anayejua? Hakuna muamala wowote wa benki kama ushahidi. Hizo hela anazo nani. Kwanini hakuna aliyewajibishwa mpaka dakika hii? Unajua maana ya bargaining chip? Ukiweza kujua majibu yote hayo njoo tuongee.Nawewe ndugu acha ujinga hebu tutajia Kabila iliyopiga ESCROW
You are jus as naive as everyone else hujui unachoongea. Asilimia 70 ya fedha zipo wapi? Mbona huo mgao wake hakuna anayejua? Hakuna muamala wowote wa benki kama ushahidi. Hizo hela anazo nani. Kwanini hakuna aliyewajibishwa mpaka dakika hii? Unajua maana ya bargaining chip? Ukiweza kujua majibu yote hayo njoo tuongee.
Waluguru wazaramo, na wakwere. Mwisho wa kuwa na nafasi nyeti serikalini ni 2015. Hutakii kanyweee sumu:becky:Wewe unaejua kwanini ucweke huo ushahidi.....!
You are jus as naive as everyone else hujui unachoongea. Asilimia 70 ya fedha zipo wapi? Mbona huo mgao wake hakuna anayejua? Hakuna muamala wowote wa benki kama ushahidi. Hizo hela anazo nani. Kwanini hakuna aliyewajibishwa mpaka dakika hii? Unajua maana ya bargaining chip? Ukiweza kujua majibu yote hayo njoo tuongee.
Mtaendelea kutawaliwa na wageni. Mamam Nkya hatoki pale. Na yule ambaye mkifa anawapa gari la kuzikia ndo mnamuoa wa maana naye mluguru yule?:msela:Tunahitaji mtu sahihi Kule! Basi!!!!!!!!
Tukaneni matusi mpaka mmalize:becky::becky:. Lakini mluguru mkwere na mzaramo hawafai kuwa viongozi. Wee kaa chini kunywa kahawa subiri upate busha lakini uongozi wa nchi from now hapanaToka hapa we mbumbumbu na porojo zako za kijinga. Kwa hiyo kamati ya PAC takukuru, na CAG wote ni wajinga ila wewe kicha.a mmoja tu Ndo mwelevu?
Waluguru wazaramo, na wakwere. Mwisho wa kuwa na nafasi nyeti serikalini ni 2015. Hutakii kanyweee sumu:becky:
Wakwere na waluguru si wajomba etii. Mweee. Za mitondoo mjomba:becky:Mluguru nani unayemjua ana nafac kubwa serikalini? Ntajie walau wawili tu. Alafu Nambie je labda walichaguliwa bila ya kuwa na sifa.
Pole sana bwakila:becky::becky:. Ukweli mchungu kuumezaAcha uongo hakuna uhusiano kati ya waruguru na wakwele bwe.ge wewe
:becky::becky:Alafu utakuta mtu kama huyu TAWA ana familia, kwa akili sifuri kama hii post yake.
Waluguru wazaramo, na wakwere. Mwisho wa kuwa na nafasi nyeti serikalini ni 2015. Hutakii kanyweee sumu:becky: