Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

Aya mwache haraka sana ili aumie kwa mda huu kuliko aweke malengo mengi kwako mana atakuja umia tuu. Bora sasa ataumia kwa mda afu niPm namba yake aroo ili nimliwaze mwambie ni afande Mwita hapa.

duh...wabongo aiseee
 
2008 Upo form four! 2010 umeajiriwa serikalini! stori yako kawapigie watoto wadogo! hala haichekeshi
 
2008 Upo form four! 2010 umeajiriwa serikalini! stori yako kawapigie watoto wadogo! hala haichekeshi

Dah...usikurupuke 2008 4m four...matokeo na 2009,,,,,interview octbr mpka january then depo ajira 2010
 
Unampenda mkeo then unamchit....huyu mwingine unamuonea huruma huku unaendelea mumgegeda. Aise!
 
Miaka 24 una mke Na mtoto wa miaka sita Na nje unagonga..duh vitu vingine muwe mnajiwekea siri. Ukifika miaka 30 si utakua umelazwa mochwari ndugu.
 
Kumbuka ukimuumiza na wew IPO siku utaumizwa tyuu mweleze tuu ukweli kama vipi waoe wotee
 
Kwanza umri wako umeupunguza wew ni MTU mzima ni Malaya kweli na kama nakufahamu vile..... Pole yako wanawake ulowatumia wanakulaani sana kilichopo mrudie mungu wako na ubaki na mchepuko au uwaoe wote kakaa
 
Kama hupendi akuite malaya,basi mchagulie majina mengine,kama mzinzi,muasherati,fuska,kicheche,playboy,yapo mengi sana,kazi ni kwako
 
Back
Top Bottom