Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

Kama Huna mpango na MTU kwann unamtongoza? Tena Unamke unathibutu kweli Kusaliti ndoa yako? Sasa tubu Kwa dhambi hiyo ulilofanya Mtafute huyo Dada Umuwekd Wazi ili Mungu akisamehe.. Uombe Msamaha na Muachane kabisa Msiwe katika Mahisiano ya kimapenzi tena. Na uheshimu ndoa Yako Usirudie Tena. "Ts Better to hurt someone With the Truth rather than Comfort her with a Lie"
 
Ukweli wewe unatamaa za ngono. Kwa hiyo wewe ni malaya wa kiume. Achana na huyo mwanamke tulia na mkeo. Kama uliona kuoa bado ungemaliza mambo yako kwanza. Unamtesa mtoto wa watu bure.
 
Back
Top Bottom