Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

Nimeoa nikiwa na umri chini kidogo ya huo na hadi sasa tuna miaka 19 ya ndoa...wapo walio oa wakiwa 40's ndoa zao chali...

hata ndoa ya kwako iko chali, haloooooo!!

huna ndoa hapo, kama bado unataka uwe mwana ndoa badili tabia

Au definition yako ya ndoa chali ni nini?
mtu ulifunga ndoa ya mke mmoja, MTU MZIMA UKAAPA kuwa mwaminifu, umeshindwa na unadhani ni sifa, uko kwenye anga la kutokujitambua

chagua ndoa ulioapa kuiishi siku kwa siku kwa will power ya kuitu uzima,
huwezi, umeshindwa basi vunja mkataba kuitu uzima ukubali matokeo, otherwize undumila kuwili utakutafuna tu.

Ila wewe sio wa kwanza wala wa mwisho ni mambo ya kawaida tu siku hizi
 
Sidhani kama umeelewa ulicho quote!!!
 
lakini umeelewa nilichopost
Kuwa ndoa chali ni pamoja na zile za wasizotimiza viapo vyao, regardless ya umri wa watu au ndoa. wakiwa wameshalalamika hadharani au bado ni siri, wakiwa wanaishi pamoja au tofauti
 
Habari wana Jf,

Mimi ni kijana wa miaka 24,nina mke na mtoto mmoja ambaye ana miaka 6, huyu mke wangu nipo nae toka nikiwa Burima secondary nilimpa nimba akiwa form two mimi nikiwa form four mwaka 2008, akajifungua mwaka 2009, mwaka 2010 niliajiriwa serikalini, nikiwa na miaka 19 ndipo 2012 nikiwa na miaka 22 tulianza kuishi wote kama mke na mme japo tumefunga ndoa ya bomani kanisani bado.

Mwaka jana mimi na mke wangu ilitokea tukawa na kutokuelewana, yeye kila siku ananituhumu mimi malaya sipendi kuitwa malaya japo ndio napigapiga nje. Siku moja nilienda Bank kumlipia mwanangu ada ya shule, nikakutana na mdada mwanachuo wa chuo cha ualimu, kwa kuwa sikua na peni ilibidi nimfuate aniazime peni. Macho hayana pazia nikatokea kumtamani kweli, nikachukua namba zake nikawa na wasiliana nae, text za hapa na pale.

Ikafika kipindi akaniamini sana akanisimulia jinsi alivyotendwa na mpenzi wake kiukweli alinitia huruma sana nilimhurumia mimi nikajaribu ndoano yangu kiukweli hakunikubalia kbsa, sema nilimtatengenezea mazingira nikamgegeda mtoto alitokea kunipenda sana nipo nae sasa kwa miezi kama 8 kiukweli mimi sina mapenzi ya dhati, kwake nampenda mke wangu nashimdwa kumpiga chini, namuhurumia kumuacha.

Nawasilisha ushauri wenu

Form four 2008 ajira 2010. ulisoma ualimu wa voda fasta?
 
form four 2008 ajira 2010. Ulisoma ualimu wa voda fasta?

badala ya kumsaidia mawazo wewe unamjadili yeye binafsi ,kwetu sis waislam ukishabalehe tu unastahili ukabidhiwe mke na hili hupunguza uzinifu kwa jamii,na pia ni marufuku kuchungulia tupu ya mtu yeyote yule isipokuwa yako na mwenzako.
 
Sikujadili swala la yeye kuoa, nlikua Nauliza AJIRA
 
Age is just a number though it is clearly a word!!!! Unataka umri gani kwani mnaenda kupiga kura huko ndani??

Best... unakumbuka ahadi yetu? Twende tukapime. Sasa niko tayari.

Kwa kifupi hapa mnajadili nini? NiPM tafazali
 
Habari wana Jf,

Mimi ni kijana wa miaka 24,nina mke na mtoto mmoja ambaye ana miaka 6, huyu mke wangu nipo nae toka nikiwa Burima secondary nilimpa nimba akiwa form two mimi nikiwa form four mwaka 2008, akajifungua mwaka 2009, mwaka 2010 niliajiriwa serikalini, nikiwa na miaka 19 ndipo 2012 nikiwa na miaka 22 tulianza kuishi wote kama mke na mme japo tumefunga ndoa ya bomani kanisani bado.

Mwaka jana mimi na mke wangu ilitokea tukawa na kutokuelewana, yeye kila siku ananituhumu mimi malaya sipendi kuitwa malaya japo ndio napigapiga nje. Siku moja nilienda Bank kumlipia mwanangu ada ya shule, nikakutana na mdada mwanachuo wa chuo cha ualimu, kwa kuwa sikua na peni ilibidi nimfuate aniazime peni. Macho hayana pazia nikatokea kumtamani kweli, nikachukua namba zake nikawa na wasiliana nae, text za hapa na pale.

Ikafika kipindi akaniamini sana akanisimulia jinsi alivyotendwa na mpenzi wake kiukweli alinitia huruma sana nilimhurumia mimi nikajaribu ndoano yangu kiukweli hakunikubalia kbsa, sema nilimtatengenezea mazingira nikamgegeda mtoto alitokea kunipenda sana nipo nae sasa kwa miezi kama 8 kiukweli mimi sina mapenzi ya dhati, kwake nampenda mke wangu nashimdwa kumpiga chini, namuhurumia kumuacha.

Nawasilisha ushauri wenu

Duh..unatoa afadhari unaweka potelea mbali (sipendi kuitwa malaya japo napiga piga nje...,sitaki kumuacha namuonea huruma)
Kila la kheri mkuu katika kuvunja ndoa yako kwa mikono yako
 
Endelea tu kupiga piga nje boy.., wakati wa kuoa ukifika utamuoa tena mkeo!
 
Back
Top Bottom