Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

Wakuacha

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
2,046
Reaction score
1,340
Habari wana Jf,

Mimi ni kijana wa miaka 24,nina mke na mtoto mmoja ambaye ana miaka 6, huyu mke wangu nipo nae toka nikiwa Burima secondary nilimpa nimba akiwa form two mimi nikiwa form four mwaka 2008, akajifungua mwaka 2009, mwaka 2010 niliajiriwa serikalini, nikiwa na miaka 19 ndipo 2012 nikiwa na miaka 22 tulianza kuishi wote kama mke na mme japo tumefunga ndoa ya bomani kanisani bado.

Mwaka jana mimi na mke wangu ilitokea tukawa na kutokuelewana, yeye kila siku ananituhumu mimi malaya sipendi kuitwa malaya japo ndio napigapiga nje. Siku moja nilienda Bank kumlipia mwanangu ada ya shule, nikakutana na mdada mwanachuo wa chuo cha ualimu, kwa kuwa sikua na peni ilibidi nimfuate aniazime peni. Macho hayana pazia nikatokea kumtamani kweli, nikachukua namba zake nikawa na wasiliana nae, text za hapa na pale.

Ikafika kipindi akaniamini sana akanisimulia jinsi alivyotendwa na mpenzi wake kiukweli alinitia huruma sana nilimhurumia mimi nikajaribu ndoano yangu kiukweli hakunikubalia kbsa, sema nilimtatengenezea mazingira nikamgegeda mtoto alitokea kunipenda sana nipo nae sasa kwa miezi kama 8 kiukweli mimi sina mapenzi ya dhati, kwake nampenda mke wangu nashimdwa kumpiga chini, namuhurumia kumuacha.

Nawasilisha ushauri wenu
 
Sasa wewe unaogopa kumuacha afu unaomba ushauri? sijui unataka ushauri gani apo? kama kweli huna mapenzi ya dhati na mtu utamuhurumia kweli?
 
We ni mzinzi tu,utawaonea huruma wangapi. Acha kujitafutisha excuses mtoto mdogo! Ongeza elimu huko

Nimemaliza form six mkuu...ntaunga degree baada ya matokeo...nimejiendeleza
 
mbona wote watoto sasa. ndo maana ukiiitwa malaya unakasirika na wakati ni kweli. mtu mzima angekauaha tu maisha yaendelee maana ni kweli

umri ndio tatizo lakin mbna tunaishi vizuri tu..
 
Back
Top Bottom