"sipend kuitwa MALAYA...japo ndio napigapiga nje" Wakuacha
Huyu kama siyo polisi atakuwa mwalimu stupid man...!We ni mzinzi tu,utawaonea huruma wangapi. Acha kujitafutisha excuses mtoto mdogo! Ongeza elimu huko
Sasa kama huduma zote ninampa,,,,,utoto wangu uko wapi mtoto wangu anasoma shule nzuri,,,,nyumban matumiz naacha pamoja na kuwa mke wangu ana mradi nimeshamfungulia,. mimi naendelea kusoma nafanya kazi....uhamiaji.
Naipenda sana hii Millennial Generation, yaani watu hamjuani; Mnakutana tu barabarani mnapeana namba za simu, really?.
duh una miaka 24 una mtoto anamiaka 6 na umeoa? kweli hata uliyemuowa mnafanana akili
Naipenda sana hii Millennial Generation, yaani watu hamjuani; Mnakutana tu barabarani mnapeana namba za simu, really?.
Acha kukurupukia mambo ya wakubwa wewe.
Huyo binti umesha haribu future yake.unamdanganya na vi miradi uchwara.
Mwanamke hasa anayejitambua huwezi kukidhi mahitaji yake na wala hawezi kuolewa na kinda kama wewe.
Eti unaacha matumizi,na mtoto anasoma shule nzuri,wapi babu?
Hili jukwaa la watu wanaojitambua,hivyo usilete mada za kitoto,matokeo yake unaambulia za uso.
Huyo binti wazazi wake wangekuwa na uwezo wasingeruhusu aolewe katika umri huo tena na zuzu kama wewe.
Mwanaamke hasa anayejitambua unaweza kumfanyia vitimbi vyote hivyo na yeye amekaa tu anakukenulia? Jielewe wewe.
Akuite tu hakuna jinsi sasa atafanyaje wakati kweli we malaya,na ukiendelea na umalaya mi nasema akuite tu,unashindwa kukaa na mkeo unahangaika na wanawake wa nje tena ulimpotezea masomo kwa sababu ya nyege zako!yaani wewe akuite tu.asiniite MALAYA sipend
Akuite tu hakuna jinsi sasa atafanyaje wakati kweli we malaya,na ukiendelea na umalaya mi nasema akuite tu,unashindwa kukaa na mkeo unahangaika na wanawake wa nje tena ulimpotezea masomo kwa sababu ya nyege zako!yaani wewe akuite tu.