We ni mzinzi tu,utawaonea huruma wangapi. Acha kujitafutisha excuses mtoto mdogo! Ongeza elimu huko
Ha ha ha haaaa wife vp..??
Nakuona uko kwa kazi, unalea!
Naipenda sana hii Millennial Generation, yaani watu hamjuani; Mnakutana tu barabarani mnapeana namba za simu, really?.
miaka 24 mtoto wa miaka 6! mke miaka 21, hapo sioni familia ya baba, mama na mtoto ila ni kaka ambaye akili yake haijapevuka lkn ameamua aishi na wadogo zake wawili