Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

we ni malaya ndio ulitaka mkeo awe muongo akuite mtulivu na wakati sio. jaman mbona hyo iko wazi kubali tu jina la tabia yako mlee mtoto

Nampenda mke wangu....sema ninamchepuko mmoja tu.
 
Aisee sijui ht nikushauri nn maana umeongea nonsense hapo juu

Kwahiyo ww unamuonea huruma mchepuko lkn mke wako uliyempotezea future yake akiwa form two na bado kakubali kukulelea mtoto wako humuonei huruma enh??

Na utatamani wangapi na kila msichana siku hizi ni mzuri???...

Mke wako hakukosea kukuita malaya kwa kweli. Ni jina sahii kwako.

Mpk ufike miaka 35 ambapo hapo ndo utakuwa mwanaume kweli utakuwa ushawaonea huruma wangapi?..maana hapo ww bado ni mtoto miaka 24 kwa mwanaume ni mtoto kabisaaa yani!

Badilisha tabia dogo! Tunza familia.
 
Wewe bado ni chekibobu,
Yale ambayo hukuyafanya wakati wa balehe ni lazima uyafanye sasa.
............... Mwendeleze mkeo kielimu ili ajiweke tayari kisaikolojia kubaki na familia
 
mtoto kaoa mtoto

Sasa kama huduma zote ninampa,,,,,utoto wangu uko wapi mtoto wangu anasoma shule nzuri,,,,nyumban matumiz naacha pamoja na kuwa mke wangu ana mradi nimeshamfungulia,. mimi naendelea kusoma nafanya kazi....uhamiaji.
 
Wewe bado ni chekibobu,
Yale ambayo hukuyafanya wakati wa balehe ni lazima uyafanye sasa.
............... Mwendeleze mkeo kielimu ili ajiweke tayari kisaikolojia kubaki na familia

Mke wangu nilimuendeleza ni form 4....sasa alimaliza 2012....sema nilimpa mimba nyngn bahat mbaya ili haribika....sasa natafuta mtoto wa pili wa kike...atasoma baadae akifksha miaka 22
 
Aisee sijui ht nikushauri nn maana umeongea nonsense hapo juu

Kwahiyo ww unamuonea huruma mchepuko lkn mke wako uliyempotezea future yake akiwa form two na bado kakubali kukulelea mtoto wako humuonei huruma enh??

Na utatamani wangapi na kila msichana siku hizi ni mzuri???...

Mke wako hakukosea kukuita malaya kwa kweli. Ni jina sahii kwako.

Mpk ufike miaka 35 ambapo hapo ndo utakuwa mwanaume kweli utakuwa ushawaonea huruma wangapi?..maana hapo ww bado ni mtoto miaka 24 kwa mwanaume ni mtoto kabisaaa yani!

Badilisha tabia dogo! Tunza familia.

Sawa dada....
 
Mke wangu nilimuendeleza ni form 4....sasa alimaliza 2012....sema nilimpa mimba nyngn bahat mbaya ili haribika....sasa natafuta mtoto wa pili wa kike...atasoma baadae akifksha miaka 22

Nyinyi ndo mnawapotezea wasichana wa watu future zao.

Kwahy mwenyewe form four unaona umemsooomeshaaa eenh?kiasi kwamba unajipongeza hvyo?

Afu kusoma kwa mke wako unaona ni second priority..first priority ni akuzalie mtoto wa kike kwanza!

Na ushukuru umempata mwanamke wa kukuvumilia huo ujinga wako.
 
umemaliza form4 2008 matokeo yakatoka 2009.ukaajiriwa serikalini 2010? itakuwa kazi gani hiyo jkt,polisi au labda katibu muktas? ila sorry stor yako kama nakujua vile japo umeongeza na uongo,hivi yule jamaa mlie maliza nae anaitwa steven ng'hind yuko pande zip?
 
Tafakar acha kukurupuka....mi npo uhamiaji....yes utakuwa unamjua Aliyekuu mkuu pale mwlm nyanda....nimehitimu na kina saganya magesa,,,,,peter...abdul...kina dogo mbu.,,,, na madem kama kina rhoda..,,recho,,,nancy atakua kamaliza chuo sasa
 
asiniite MALAYA sipend

Asikuite malaya kati wewe ni malaya uliekubuhu..
unakuwa na majusiano na mwanamke mwingine kwa miezi minane na wewe ni mwanandoa???
au utasingizia kuwa uliteleza??
ungefanyiwa wewe si ungekuwa ushaa mtimuwa zamani!!
Tatizo ni umri!
 
nilipoanza kuisoma hii thread nikagundua kwanza wewe ni mwalimu,nilivyoendelea nikagundua ni mwl wa grade A,sijaweza kuimalizia ila tafuta hela acha ngono kwa hela unazopata huwez ishi na mwanamke kamwe.mishahara ya grade A midogo sana na ukizidi sana,utakuwa unapokea 210,000
 
Mkeo kakosea lipi wakati kila ukitamani unagegenda? Afu u cant swallow the ugly truth pill..... na ndani ya miezi 8 yooote kwanini hukuomba ushauri wa jinsi ya kumuacha? Men ptuuuuuuu smh
 
Back
Top Bottom